Alex Fredrick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 680
- 1,338
Naona wana Saccos ya Chadema wanachungulia na kupita mbioooo!! Mmawia tindo Chakaza mnaitwa huku!! Mje muone mkataba ukisainiwa ila hakikisheni mnywe maji mengi ya kutosha msije kufa na stress pia mmjulishe msaliti Lissu kuwa leo mkataba umesainiwa na hao mabwana zake Accacia hawapo tena Tanzania wamevurushwa! Msisahau kumweleza pia Msaliti Lissu kuwa hatukushitakiwa wala hakuna cha MIGA. Mwambieni arudi home kumenoga aje aone maendeleo yanayoletwa na serikali ya awamu ya tano.
Mugabe huyu marehemu aliyetolewa madarakani kijeshi.?Magufuli ni Mugabe wa pili watanzania wengi tunafurai kwa aya mambo makubwa kabisa mwenyezi Mungu amzidishie..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni saini tu Chief hazina afu jua huo sio msahafu“Leo ni siku Muhimu sana si kwa Tanzania tu bali kwa Afrika nzima katika suala la biashara madini, nawashukuru sana Barrick pamoja na watanzania wazalendo walioshiriki katika mazungumzo haya” - Rais Magufuli.
Wale Watanzania wenzetu ambao mnavinasaba vya kina Thomaso nadhani leo mtakuwa kwa kiasi fulani mnaanza kumuelewa Rais Magufuli kwa ufasaha na kwanini alibadilisha Sheria zote za Madini 2017.
Kwa mwenendo huu Rais Magufuli sisi kama Taifa bado tunamuhitaji sana kwenye Medani za Uongozi nchini
Tuwe wakweli tu sioni kiongozi sampuli ya RAIS MAGUFULI kwa haya makubwa aliyotutendea ndani ya miaka mitano ambayo bado haijaisha.
#RAISMAGUFULI KIOO TUELEKEACHO 2020
Alex Fredrick
Dar es salaam Tanzania East Africa
View attachment 1333183View attachment 1333184
Sent using Jamii Forums mobile app
Who are eti Mimi sitishiki !!!! Utingishike usitingishike we don't care we are movingNipo humu humu wala sina wasiwasi wowote ule. Mkuu ni lipi jipya hapo ambalo leo ndio jipya toka awamu huu iingie madarakani? Kama ni hizo hadithi za 50/50 kwa hisa za 16% wala sio hadithi mpya. Kama kweli huo Mkataba una maslahi, uwekwe wazi tuusome na sio kuchukua maelezo kwa wazalendo wa tumbo akina Kabudi. Uzuri mimi sitishiki na mbwembwe bali najali tija.
Who are eti Mimi sitishiki !!!! Utingishike usitingishike we don't care we are moving
Sent using Jamii Forums mobile app