Barrick kupunguza wafanyakazi 550

Msolopagazi

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
663
153
Kampuni kubwa la kuzalisha Dhahabu la Barrick kupitia mgodi wa Bulyanhulu limetangaza kupunguza wafanyakazi 550 wakitanzania kutokana na kushuka kwa bei ya dhahabu kwenye soko la dunia baada kupunguza wafanyakazi wakigeni wapatao 30.

Kuanzia jana wametoa fomu kwa wanaojitolea kuacha kazi watalipwa mwezi mmoja kwa kila mwaka mtu aliofanya kazi.

Nawasilisha.
 
Kuanzia jana wametoa fomu kwa wanaojitolea kuacha kazi watalipwa mwezi mmoja kwa kila mwaka mtu aliofanya kazi.Nawasilisha.
Source please.
 
Sio mbaya ni taratibu za kibiashara.
Na kila mtu analipwa stahiki zake zote,la msingi hapo kama mtu alikuwa mtu wa Ulabu na madem basi atatoka kama alivyoingia.
Na mwenye akili atakuwa tayari kaishapata mtaji.Hiyo ndio Nature ya Ajira.
 
Kuna nini huko Buly? Au ndio utaratibu wa Bynercut? Maana kulikua na VSP nadhani mwaka jana na watu waliondoka na mawe ya maana sana tu. Huo mgodi una watu kama 1,200 wakitoa 500 kazi itafanywa na nani?
 
Tujiajiri wapendwa, kama mlijisahau hata mitaji shida ndo ivo tena

Mkuu kila mtu akijiairi nadhani hata wewe hio opportunity uliyonayo unayotoa service / product hautaweza kuitoa tena.., nchi yoyote inahitaji employment kutoka kwenye mashirika/taasisi/wafanyabiashara wakubwa ili kuweza ku-absorb watu wengi, alafu percent chache ndio entrepreneurs wadogo wadogo

Jambo kama hili likitokea ni pigo kubwa sana kwa community sababu effect yake ni knock on na inatoa athari kwa sekta nyingine
 
Kuna nini huko Buly? Au ndio utaratibu wa Bynercut? Maana kulikua na VSP nadhani mwaka jana na watu waliondoka na mawe ya maana sana tu. Huo mgodi una watu kama 1,200 wakitoa 500 kazi itafanywa na nani?
Yap inawezekana hilo kuna mpango wa kumpa contractor (Beynercut) vitengo vyote vya mining zaidi ya hivi alivyopewa ili Barrick ijondoe kwenye kesi na wafanyakazi kama wagonjwa,roster za kazi na mishahara kupunguzwa sasa watu wakinyayaswa ina kuwa siyo wao bali ni contractor
 
Kampuni kubwa la kuzalisha Dhahabu la Barrick kupitia mgodi wa Bulyanhulu limetangaza kupunguza wafanyakazi 550 wakitanzania kutokana na kushuka kwa bei ya dhahabu kwenye soko la dunia baada kupunguza wafanyakazi wakigeni wapatao 30.

Kuanzia jana wametoa fomu kwa wanaojitolea kuacha kazi watalipwa mwezi mmoja kwa kila mwaka mtu aliofanya kazi.

Nawasilisha.

Mkuu walipatikana wa kujitolea kuacha kazi? Maana kujitoa mhanga yataka moyo ati!
 
Mie mwenyewe niko eneo la tukio.

Mkuu kumbe uko Bully. Kakora bado ipo ? ile bus bar bado ipo ? machangu wa Dar bado wanakuja mwisho wa mwezi ? Nisalimie balozi wa Bugarama na ile kambi nyingine inaitwaje vile ? umenikumbusha KAKORA 2000---2003
 
Wajitolee watawalipa mwezi mmoja kwa sheria ipi? Sheria inampa fursa mwajili kulipa kiinua mgongo cha siku saba kwa kila mwaka endapo atamwachisha kazi mfanyakazi, kama sheria inamlinda na anayofursa ya kukupunguza kazini na akakulipa kidogo kwa nini akuombe uresign na akulipe kiwango kikubwa zaidi? Haiingii akilini, ngoja muingie mkenge halafu agome kuwalipa muone mtamfanya nini wakati sheria haimlazimishi kuwalipa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
MWAJILI ndio kitu gani ? kajifunze sarufi ndio uje na u bush lawyer wako vinginevyo kakojoe ukalale
 
Mkuu kumbe uko Bully. Kakora bado ipo ? ile bus bar bado ipo ? machangu wa Dar bado wanakuja mwisho wa mwezi ? Nisalimie balozi wa Bugarama na ile kambi nyingine inaitwaje vile ? umenikumbusha KAKORA 2000---2003
ilogi kama kawaida siku hizi Bar inayotamba inaitwa Ma**ko Bar
 
Huo ni mpango kampuni imeelewana na chama cha wafanyakazi ukijitolea kuacha unalipwa mwezi mmoja kwa kila mwaka ulioifanyia kampuni na kuna fomu maalumu zimetengenezwa kwa anayetaka kujitolea mwisho sept 22 kama idadi haijafika ndio atafanya retrenchment
 
a wanaojitolea kuacha kazi watalipwa mwezi mmoja kwa kila mwaka mtu aliofanya kazi.

Nawasilisha.

Mikataba ya kazi inasemaje. Kaeni chonjo hawa jamaa ni Wajanja sana kuajiri na kutumia wanasheria.

Nihisi Wanajiandaa kumwuzia Mchina aangaike na madhara na makesi yatakayoachwa kwani rasilimali ya dhahabu inakaribia kwisha.
 
Huo ni mpango kampuni imeelewana na chama cha wafanyakazi ukijitolea kuacha unalipwa mwezi mmoja kwa kila mwaka ulioifanyia kampuni na kuna fomu maalumu zimetengenezwa kwa anayetaka kujitolea mwisho sept 22 kama idadi haijafika ndio atafanya retrenchment

Mkuu Msolopa huna tetesi zozote baada ya Sept 22 wa retrechment watalipwaje?
 
Mkuu walipatikana wa kujitolea kuacha kazi? Maana kujitoa mhanga yataka moyo ati!

Kazi za mining ni tofauti na kazi nyingine (ngumu) ukitangaza hivyo wanaojitolea kuacha mbona ni wengi tu watu wanatafuta mtaji tu ila mazingira ya kazi ni magumu sana
 
Back
Top Bottom