Barrick Gold Mine yanaswa ukwepaji kodi wa kutisha

mkuu corporate tax inakuwa charged on profit before tax,kwa tanzania ni 30%,chargeable in each year of income....
I bet wewe ni mhasibu by profession au umesoma uhasibu. By the way, kama una accumulated loss kwenye balance sheet yako, na suddenly umeanza kupata profit, tax laws zetu zinasemaje kuhusu corporate tax? Je utalipa corporate tax based on the current profit made, au itabidi mpaka accumulated loss zimezwe na profit ( which might take years) ndo uanze kulipa corporate tax?
 
Mkuu usijaribu kuchanganya siasa kwenye mambo ya msingi. Bunge la mwaka wa 2005 hadi 2010, kuna kamati ndogo iliundwa ili kutoa mapendekezo katika sheria ya madini ya 2010. Kamati hiyo ilikuwa ikiongozwa na wakina Cheyo. Kamati ilifanya kazi nzuri, lakini mapendekezo mengi hayakufanyiwa kazi. Ndio maana leo sheria ya madini ya 2010 ni mbovu kupita maelezo.

Na hili lilifanyika kwa madhumuni, kwani serikali ya Kikwete ilikuwa inafahamu fika kwamba Buzwagi na Bulyankulu wanazalisha Dhahabu kama major product na Shaba kama minor product. Buzwagi na Bulyankulu ni miongoni mwa migodi Afrika inayozalisha more than one product, inaitwa ni bi-processing plants. Lakini kutokana na mapungufu ya sheria ya madini ya 2010 wanatozwa kodi kutokana na uchimbaji wa Dhahabu tu na serikali inapata mapato kidogo sana kutokana leseni ya usafirishaji wa Shaba, ambayo na yenyewe iko moja inatumika katika migodi miwili tofauti. Hii ni hasara kubwa kuliko kupandisha mrahaba kutoka 3% hadi 4%.

"mrabaha" watu wengi tu wanakosea neon hili.
 
TRA wafanye targeting Auditing kwy makampuni yote ya madini Tanzania watagundua mengi sana! Baada ya Acacia,waende GGML,Shanta,Tanzanite One,Katavi Mining,Kapufi Mining,Mantra nk nk kuna kitu watagundua tu!na mikataba ya madini ipitiwe upya tena bungeni na kamati husika ije na mapendekezo ya mikataba ikaaeje ili kutunufaisha na sisi wazalendo.Itungwe sheria ya kulinda hizi rasimali muhimu tena fasta,mbona cyber walileta mswaada fasta fasta na ukapita??!
 
Ndio maana raisi Magufuli anasema wazi wazi nchi hii sio masikini tatizo lipo kwenye uongozi na namna ya kuzuia rushwa kubwa kubwa miongoni mwa mawaziri wenye nyadhifa mbali mbali hapa nchini.Magufuli amekuwa kiongozi kwa miaka ishirini anaelewa udhaifu wa viongozi kuanzia maraisi waliopita na mawaziri wote waliopita na waliopo.Yote yanayoendelea kwenye wizara na maidara hadi mikataba iliyofanywa kwa hasara ya nchi na kuwanufaisha viongozi wa juu anayaelewa yote.Wenye uelewa finyu watadai kama alikuwa anayaelewa alifanya nini kuinusuru nchi na wenye ufinyu zaidi watadai kwanini hakujiuzulu nafasi ya juu aliyokua nayo kuonyesha kukerwa na hali hiyo.

Ngazi yake aliyofikia ni ya uwaziri tu asingeweza kufurukuta kwa uongozi wa juu wa nchi na hata kwenye kamati za juu za chama zenye maamuzi angepeperushwa mapema zaidi.Ndiyo maana ilikuwa busara kubaki na kuendelea kuyaona na kujifunza huku akifanya bidii kuteuliwa kuiongoza nchi na kurekebisha maovu yote hayo maana atatekeleza kwa uhakika.Kumbukeni kuna msemo unaosema ukiona huwezi kupigana nao kwa wakati huo ungana nao hadi muda muafaka.

Ndicho alichokifanya raisi Magufuli.Sio kwamba huu ukwepaji kodi wa madini ulikuwa haueleweki kwa baadhi ya viongozi ila walipoozwa kwa rushwa mwana haramu akapita.Asante Mungu sasa Magufuli ameupata uraisi na anajua aanzie wapi kunyoosha mambo ili neema ya nchi iwafikie wote.Mwezi huu wa sita atakabidhiwa kofia ya uenyekiti wa chama taifa.Maovu na waovu wengi wamejificha huko asiangalie sura awafute chama waovu wote.

Hivi vijipu vidogo vidogo vya laki za madaktari angewaachia wakuu wa wilaya na mikoa nae akayaangalia yale makubwa yanayoweza kuiteteresha nchi na uchumi wake.Sio wingi wa degree za mtu zinazomfanya awe mtendaji mzuri bali hutanguliwa na busara,hekima na uzalendo wa kweli kweli kwa nchi.

AWEKE MIFUMO MIZURI, UTEUZI MAKINI KWA NAFASI ZA MAAMUZI YA TAIFA NA MWISHO ASHUGHULIKIE KATIBA YA NCHI AANZIE MAPENDEKEZO YA WARIOBA.
Mkuu kuna video 1 ivi (mwenye nayo ataiweka apa) anko Magu yuko na wadau wake wakawa wanazungumzia aya mambo kabla ajawa Rais na akawajibu akiwa Rais hawa watu wa madini watalimia meno na sasa naona kinachojiri.
Kudos anko Magu
 
From: "Gordon, Bradley" <BGordon@acaciamining.com>
To: "+Africa - All employees" <Africa-Allemployees@acaciamining.com>, "+North Mara - Contractors" <northmara-contractors@internal.africanbarrickgold.com>, "+Buzwagi - Contractors" <Buzwagi-Contractors@acaciamining.com>, "+Bulyanhulu - Contractors" <BulyanhuluContractors@acaciamining.com>
Cc:
Date: Mon, 4 Apr 2016 12:40:16 +0000
Subject: Today's News Coverage

Many of you will have seen the press articles circulating today alleging that Acacia has evaded paying tax. These allegations are false, baseless and I find them repulsive. Acacia never has, and never will, avoid paying the tax we owe, both in Tanzania and the other countries that we operate. I want to reassure all of you that we are doing everything we can to refute these allegations and will be publishing a statement in the papers tomorrow to publically confirm to you, your families, our communities, our suppliers and our government relationships that we always act in an ethical and transparent manner and would never do this. Only a month ago we agreed to pre-pay US$20 million of corporation taxes in 2016 as we believed it was the right thing to do to support Tanzania. This is in addition to over US$370 million of taxes and royalties that we have paid over the last three years.

Acting in an ethical manner and with integrity at all times is something I demand from all of our people, because this is the standard we set for the Company. By doing so, we will build a better future for Acacia and all of us.

The statement that will appear tomorrow is below:

Acacia Mining plc

LSE:ACA

(“Acacia” or the “Company”)

Allegations against Acacia Mining plc

On Monday 4th April 2016 several newspapers reported on an allegation that Acacia Mining plc has been running a "sophisticated tax evasion" scheme in Tanzania following a ruling issued by the Tax Appeals Tribunal on March 31, 2016.

Acacia and its subsidiaries fully comply with all international and domestic tax legislation and have not and never will undertake any form of tax evasion or tax avoidance schemes. Acacia and its subsidiaries have recently agreed to pre-pay US$20 million of corporate tax to demonstrate our commitment to Tanzania, in addition to our direct contribution of US$372 million in taxes and mining royalty payments over the past three years.

The Company’s financial reporting conforms to international best practice and is thoroughly audited by internationally recognised accounting firms and Government organisations.

We would further like to note as of 3rd April 2016, Acacia had yet to be supplied with the Tax Tribunal Ruling. The Company believes that the judgment is fundamentally flawed. Acacia will be appealing against the ruling to the Court of Appeal.

Regards,

Brad
 
Ngoja tusubiri hio kesho tuone kipi ni kipi
 
Uyo ni CEO wa Acacia mining akipinga hizo tuuma za ukwepaji kodi.. Tena anasema wamekubali kulipa corporate tax mwaka huu ili kuisaport Tanzania, kana kwamba kulipa iyo tax si wajibu wao bali ni support tu
 
Usilolijua ni usiku wa kiza, hv unafahamu ni kodi gani hiyo inayozungumziwa hapo, na unajua mchakato wa kufichua huo uozo umeanza kipindi gani, kama hujui kitu uwe unauliza kwanza kwa mamlaka zinazohusika

2010, 2011.,2012 and 2013. Wakati huo rais alikuwa JK. Au unahojI nini?
 
this allegations are baseless and he see them repulsive that's brad Gordon
 
From: "Gordon, Bradley" <BGordon@acaciamining.com>
To: "+Africa - All employees" <Africa-Allemployees@acaciamining.com>, "+North Mara - Contractors" <northmara-contractors@internal.africanbarrickgold.com>, "+Buzwagi - Contractors" <Buzwagi-Contractors@acaciamining.com>, "+Bulyanhulu - Contractors" <BulyanhuluContractors@acaciamining.com>
Cc:
Date: Mon, 4 Apr 2016 12:40:16 +0000
Subject: Today's News Coverage

Many of you will have seen the press articles circulating today alleging that Acacia has evaded paying tax. These allegations are false, baseless and I find them repulsive. Acacia never has, and never will, avoid paying the tax we owe, both in Tanzania and the other countries that we operate. I want to reassure all of you that we are doing everything we can to refute these allegations and will be publishing a statement in the papers tomorrow to publically confirm to you, your families, our communities, our suppliers and our government relationships that we always act in an ethical and transparent manner and would never do this. Only a month ago we agreed to pre-pay US$20 million of corporation taxes in 2016 as we believed it was the right thing to do to support Tanzania. This is in addition to over US$370 million of taxes and royalties that we have paid over the last three years.

Acting in an ethical manner and with integrity at all times is something I demand from all of our people, because this is the standard we set for the Company. By doing so, we will build a better future for Acacia and all of us.

The statement that will appear tomorrow is below:

Acacia Mining plc

LSE:ACA

(“Acacia” or the “Company”)

Allegations against Acacia Mining plc

On Monday 4th April 2016 several newspapers reported on an allegation that Acacia Mining plc has been running a "sophisticated tax evasion" scheme in Tanzania following a ruling issued by the Tax Appeals Tribunal on March 31, 2016.

Acacia and its subsidiaries fully comply with all international and domestic tax legislation and have not and never will undertake any form of tax evasion or tax avoidance schemes. Acacia and its subsidiaries have recently agreed to pre-pay US$20 million of corporate tax to demonstrate our commitment to Tanzania, in addition to our direct contribution of US$372 million in taxes and mining royalty payments over the past three years.

The Company’s financial reporting conforms to international best practice and is thoroughly audited by internationally recognised accounting firms and Government organisations.

We would further like to note as of 3rd April 2016, Acacia had yet to be supplied with the Tax Tribunal Ruling. The Company believes that the judgment is fundamentally flawed. Acacia will be appealing against the ruling to the Court of Appeal.

Regards,

Brad

They agreed au niwajibu wao kulipa first instalment after march!this sound likelihood kua jamaa wana evade or avoid tax at very large scale,at first I thought it's only withholding tax za reptrieted income na royalty but i think the problem goes beyond that!TFU na TRA please intervene and do special tax Auditing on these company accounts!
 
WaAfrica Acheni Ujinga na Uchochezi...Tujiulize ni Nani alie wafundisha
Kukwepa Kodi?-Wana body of Directors Tena wapo Wa Africa......

Ni Nani alie ruhusu-Mazingira hayo?

Ina maana miaka minne iliyo pita Tz ilikua zezeta...
Nataka hela Zangu..... ....Kama ulisha wahi kuiba hela ya serikali Rudisha....
 
  • Yakwepa kulipa kodi zaidi ya Tsh Billioni 89
  • Yaichezea serikali kwa miaka minne ikisingizia kuwa inapata hasara, kumbe ulikuwa ni mchezo mchafu, iliingiza faida ya zaidi ya Tshs Trillioni 1.79 za Kitanzania
  • TRA yawabana watupe chetu.
=============================

barrick.jpg

Baraza la Rufaa za Kodi (TRAT), limeibana Kampuni ya Madini ya African Barrick Gold Plc (kwa sasa Acacia) baada ya kuridhika kuwa ilijenga mazingira ya kukwepa kodi ya Dola za Marekani 41,250,426 (Sh89 bilioni) kwa kipindi cha miaka minne mfululizo.

Fedha hizo zilizopaswa kulipwa na ABG kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kama kodi ya zuio katika kipindi hicho, lakini ikakata rufaa kupinga kodi hiyo na baraza hilo kuipa haki TRA.

Katika uamuzi huo uliotolewa Machi 31, mwaka huu na Mwenyekiti wa TRAT, Jaji Dk Fauz Twaib, baraza hilo limekubaliana na hukumu ya Baraza la Rufaa za Kodi nchini (TRAB) na hoja za TRA kuwa ABG imekuwa ikifanya mchezo wa kukwepa kodi.

Kwa mujibu wa hukumu hiyo, ABG ilikwepa kulipa kodi hiyo kuanzia 2010 hadi 2013 kwa namna mbili, kwanza ikiwa ni kudai kuwa kampuni tatu zilizo chini yake zinazojishughulisha na uchimbaji wa madini nchini zimekuwa zikipata hasara.

Kampuni hizo ni Bulyanhulu Gold Mining Ltd, inayomiliki mgodi wa Bulyanhulu, North Mara Mining Ltd na Pangea Minerals Ltd, inayomiliki migodi ya Buzwagi na Tulawaka.

Hata hivyo, wakati kampuni hizo zikidai kuwa zilikuwa zikipata hasara, baadaye ilibainika kuwa kampuni mama ya ABG PLC, yenye makao yake makuu jijini London, Uingereza katika vipindi hivyo, ilikuwa ikitangaza kutoa gawio kwa wanahisa wake.

Gawio hilo lilitokana na mapato yaliyopatikana kutoka na shughuli zake nchini za uchimbaji madini, ambayo katika kipindi hicho cha miaka minne yalifikia Dola 818,431,285 za Marekani (Sh1.79 Trillioni).

Wakati wa usikilizwaji wa rufaa hiyo katika ngazi ya Bodi, TRA iliwasilisha taarifa ambazo zilitolewa na ABG za mapato za kila mwaka kama kielelezo ambazo ilidai kuzipata katika upelelezi wake.

Taarifa hizo ambazo ni moja ya vigezo vilivyojenga msingi wa uamuzi wa TRAB na TRAT, zinaonyesha kuwa 2010, ABG ilitoa gawio kwa wanahisa wake la Dola 259,542,367 za Marekani.

Katika kiwango hicho, TRA ilionyesha kuwa ilitakiwa kulipwa kodi ya zuio la asimilia 10 ambayo ni Dola 25,954,237 za Marekani, wakati kwa mwaka 2011 ABG ilitoa gawio la Dola 28,295,899 na kodi ya zuio kwa TRA Dola 2,829,5809.

Mwaka 2012, gawio lilikuwa ni Dola 70,124,620 wakati kodi ya zuio ni Dola 7,012,462 na mwaka 2013, gawio lilikuwa Dola 54,541,371, ambapo kodi ya zuio ilikuwa Dola 5,454,137 za Marekani.

Katika hukumu yake, TRAT imeelezea kushangazwa na mwenendo wa AGB na kampuni zake zinazoendesha biashara ya uchimbaji madini kutangaza kupata hasara katika kipindi hicho wakati kampuni mama ambayo pato lake linatokana na shughuli za kampuni hizo, ikitangaza na kutoa gawio kwa wanahisa wake.

Baraza hilo linaeleza katika hukumu hiyo kuwa TRAB katika kesi ya msingi, ilibaini katika ukurasa wa 123 wa taarifa yake (ya fedha), AGB inaeleza kwamba pato lake lote linatokana na shughuli za madini zinazoendeshwa na kampuni zake ndogo nchini.

Linaendelea kueleza baraza hilo kuwa taarifa hiyo ya AGB haionyeshi mbali na migodi ya Tanzania, hakuna shughuli nyingine yoyote duniani kote inayoendeshwa na ABG ambayo huchangia pato hilo.

Baraza hilo lilisema kitendo cha kampuni zake zote ambazo ndizo chanzo cha mapato yake zikitangaza kupata hasara, kinamaanisha kuwa hakuna gawio la kulipa kwa wanahisa wake na hazijalipa kodi ya kampuni zake kwa miaka yote hiyo.

“Kwa kweli tunaungana na Bodi (TRAB) kushangaa, kwamba hili linawezekana vipi. Ni jambo lisiloshawishi kwamba mrufani (ABG) aliweza kulipa gawio hilo wakati raslimali zake pekee ni kampuni tatu zinazopata hasara zilizoko Tanzania, ambazo hazipati faida kabisa na hazitoi gawio,” ilisema TRAT.

“Katika mazingira hayo ni sawa kuhitimisha hoja ya mjibu rufaa (Kamishna Mkuu wa TRA kupitia kwa Wakili wake, Noah Tito) kuwa miamala hiyo ni namna iliyotengenezwa na mrufani (ABG) kwa lengo la kukwepa kodi ilithibitika,” iliongeza TRAT katika uamuzi huo.

TRA baada ya kupitia vifungu mbalimbali vya sheria na hoja za pande zote, pia ilikubaliana na hoja za mamlaka hiyo pamoja na msimamo wa TRAB kwamba mrufani huyo ni kampuni mkazi nchini, hivyo anastahili kulipa kodi zote.

Chanzo: Mwananchi

My Take:
Utawala wa JK umetuharibia sana hii nchi aiseee

WASWAHILI BADO SANA.....MTOA POST NAE FALA......CHANZO UJINGA MTUPU.....GOVERNMENT NDO "$&
Sasa tukomae Twende sawa.....Tuna pigwa sana.....
Jpm
Tuna kulinda
 
Hawa acacia ni wasanii sana wanyooshwe tu!!! wenyewe ni kubadili majaina tu mara ABG mara ACACIA kumbe chetu hawatoi ,,,,,magu tumbua hawa nguruwe
 
Kwa nini wasitaifishwe sio waadirifu
 
Back
Top Bottom