Barrick Gold loses appeal vs 160bn/- tax evasion ruling

There was a technical issue that was overlooked at the time of filling the appeal, but I am told ACCACIA will file again this case.
 
Narudia tena kesi ilikuwepo mahakamani kabla ya mtukufu wa Ikulu kuingia madarakani. Uongo wako peleka mtaa wa lumumba siyo humu. Angekuwa anajali maslahi ya Tanzania na Watanzania asingeiogopa Lugumi, kuhusika na kununua boti uozo la MV ufisadi kisha kukaa kimya kama si mhusika na kukaa kukaa kimya kuhusu wizi wa escrow na hukumu ya hivi karibuni dhidi ya Tanesco ya $145 millioni.
Iwepo mahakamani wakati wa mkwere au baada ya mkwere ni kututoa nje ya hojaa...Haitusaidii kujua ilianza lini...
 
Good "eye opening" information that provides a different point of view for one to ponder on and perhaps get a new sense of the value of it.

My standpoint on tax avoidance-and-evasion is pretty simple to be honest.

By ABG [African Barrick Gold] not paying taxes, and settling in a country where there was very little political will to change that, means that a lot of other companies such as Petra-Williamson diamonds, Shanta Gold Mine, GGM and TanzaniaOne were enjoying growth due to plundering and squandering our mineral resources.

And here is the truth about tax avoidance-and-evasion. "If it was not possible for so many companies to avoid taxes, Tanzania would not have the huge economic problems the country has". It does not benefit anyone besides some of our government officials and the stock holders in London - or at least, it's not really comparable when the difference is as huge as it is.

It's definitely the beginning of a new era, the current government fight against tax avoidance-and-evasion that will ensure a new golden age and shared wealth across the country. Hapa Kazi Tu..
This case was already in progress long before Hapa Kazi Tu which is just a
slogan.
 
Kwa nini mada kama hizi huwa ni ngumu Kupata wachangiaji. Hapa tunaweza kupata na kujenga msingi mzuri wa kuyabana makampuni mengi hap nchini ambayo kwa ujanja au kwa matobo yaliyopo kwenye sheria zatu wanakwepa kodi.

Kwa sababu wanasiasa wengi pia wanajihusisha na biashara, Kuna haja ya kupitia upya sheria zetu ili kama kutakuwa na mwanya wowote wa kumpa unafuu wa kubiashara usio na tija kwa Taifa Tuuzibe. Hii Kazi huwa inafanyika kirahisi sana kama Kiongozi mkuu akiwa hana ubinafsi.

Mfano ;Raisi wa India Narendra Modi, alipoingia Madarakani ndani ya miaka miwili alipendekeza na kufanikiwa kufanya mabadiliko ya sheria 1,159 kitu ambacho India WENGINE walifeli kwa miaka mingi.

Wawekezaji nimegundua wengi hawana shida ila mapungufu ya sheria zetu yanaweza kuwa ni mianya ya wao kukwepa kodi
Sheria za uwekezaji na kodi ziliandikwa na IMF na World Bank. Bunge letu lilipelekewa tu kitia muhuri. Ni lazima ziangaliwe upya hasa za madini. Tatizo JPM sasa amekuwa bunge na mahakama.
 
Kutaka kuudanganya umma wa Watanzania kwamba credit ya hukumu hii iende kwa Magufuli wakati kesi hii ilikuwepo mahakamani kabla ya yeye kuingia madarakani ni uongo ambao hauwezi kuachiwa kupita kimya kimya. Kujadili details kuhusiana na ukweli wa kesi hii si kutoka nje ya mada.

Iwepo mahakamani wakati wa mkwere au baada ya mkwere ni kututoa nje ya hojaa...Haitusaidii kujua ilianza lini...
 
But now, we are staying on coarse with strategic metrics. Hatua Mbili Mbele, Hapa Kazi Tu!
I can't agree any more but in order to implement "HATUA MBILI MBELE" there should be strict laws to penalise tax evaders.

The laws we have do not let the evaders suffer severe consequences. Surely this is the one of the factors which influences them to involve in tax cheating.

Also we really have a long way to promised land since there are so many impediments such as grand corruption which is a very serious problem in our country.

Let's be frank and support our president hope everything will be okay.
 
Kutaka kuudanganya umma wa Watanzania kwamba credit ya hukumu hii iende kwa Magufuli wakati kesi hii ilikuwepo mahakamani kabla ya yeye kuingia madarakani ni uongo ambao hauwezi kuachiwa kupita kimya kimya. Kujadili details kuhusiana na ukweli wa kesi hii si kutoka nje ya mada.
Sawa baba wa ligi...
 
Wewe ni mmoja wa wale ambao mko tayari kulishwa uongo wa aina yoyote ile na mtakaa kimya na kuukubali uongo huo kwa sababu tu hamtaki kufuatilia mambo mbali mbali yanayoendelea nchini. Ungekuwa unafuatilia ungejua kwamba kesi hii iko mahakamani siku nyingi kabla ya mtukufu wa Ikulu kuingia madarakani na kusema ukweli kwamba ni uongo kutaka kumpa sifa Magufuli hakutuondoi kwenye mjadala husika. Kuwa mfuatiliaji wa mambo yanayohusu nchi yetu ili uweze kugundua uongo wa aina moja au nyingine. Na hii si ligi Mkuu kuufanananisha mustakabali wa nchi na ligi ni makosa makubwa sana.

Sawa baba wa ligi...
 
Back
Top Bottom