Kwako ni mzito kweli kweli kwa sababu, usingefikiria suala la Acacia kwenda MiGA wakati yeye ni mshindi!! Hivi umesahau kwamba mlikuwa mnawadai USD 190 Billion, lakini wanachotaka kulipa ni only USD 300M ambayo ni less than 1%, na hapo hapo makinikia ruhusa kwenda nje?!Nenda kamuulize Lissu ndiyo aliwaaminisha hivyo. Eti sina ubavu wa kujadili mada nzito kama hii!!?? Yaani wewe unaiona mada hii ni nzito? Basi uelewa wako utakuwa mdogo sana! Pole!
Sasa kama jambo dogo kama hilo umeshindwa kulifahamu, huoni ni namna gani mada ilivyo mzito kwako?
Na kama hadi sasa hujaelewa hoja ya Lissu wakati serikali inafikia kukubali USD 300M out of USD 190B basi una safari mzito sana ya kuelewa!!!