Barnaba Nimekuheshimu

Barnaba Nimekuheshimu

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
4,289
Reaction score
2,472
Nilikuwa namchukulia dogo poa ila kwa hii kitu ninamheshimu kweli. Sijua KTMA kama yuko kwenye kategori ya utunzi bora ila kama yupo basi anabeba tuzo. Huu wimbo wa Ruby ninausikiliza kila baada ya dk 7 hivi na hauniishi hamu. Licha ya sauti tamu ya Ruby na kaumbile kake, kikubwa ni utunzi mahiri wa wimbo wenyewe. Kiukweli wimbo umeshiba na una mapenzi ya kiutu uzima, sio yale ya demu wangu. Nilipouliza nikaambiwa aliyesababisha ni Barnaba. You are the best boy. Aliyeimba pia kautendea mno haki maana ndio aina ya melodi ninazopenda. melodi za kupaa na kukupeleka kusikojulikana zikihanikizwa na uhalisia wa mwimbaji. Big up Barnaba. Na yule is the best hit.

Nyimbo zingine nazozipenda ni
1. Dimond - Ukimwona
2. Bella - Nashindwa
3. Msechu - Nyota ing'ae
4. VOA - Salima

Naombeni mnijulishe na watunzi wa hizo nyimbo, au kama ni wao wenyewe.
 
Wamenipora haki nyingi tu humu jf ikiwa ni pamoja na kuupload vitu, ila nenda u tube andika ruby - na yule kisha pakua
 
Yeah mkuu umeongea. Barnaba mie nyimbo zote huwa na enjoy sana nikimsikiliza. Titizo moja tu ni kwamba hajui kucheza kitu ambacho kwangu hakina marks na mziki kwangu ni audio na sio video.
 
Aisee haka kanyimbo cha Ruby ni katamu tuacheni utani, mtoto ana sauti yule dah!

Keep it up Barnaba ni mtunzi mzuri sana!
 
Nilikuwa namchukulia dogo poa ila kwa hii kitu ninamheshimu kweli. Sijua KTMA kama yuko kwenye kategori ya utunzi bora ila kama yupo basi anabeba tuzo. Huu wimbo wa Ruby ninausikiliza kila baada ya dk 7 hivi na hauniishi hamu. Licha ya sauti tamu ya Ruby na kaumbile kake, kikubwa ni utunzi mahiri wa wimbo wenyewe. Kiukweli wimbo umeshiba na una mapenzi ya kiutu uzima, sio yale ya demu wangu. Nilipouliza nikaambiwa aliyesababisha ni Barnaba. You are the best boy. Aliyeimba pia kautendea mno haki maana ndio aina ya melodi ninazopenda. melodi za kupaa na kukupeleka kusikojulikana zikihanikizwa na uhalisia wa mwimbaji. Big up Barnaba. Na yule is the best hit.

Nyimbo zingine nazozipenda ni
1. Dimond - Ukimwona
2. Bella - Nashindwa
3. Msechu - Nyota ing'ae
4. VOA - Salima

Naombeni mnijulishe na watunzi wa hizo nyimbo, au kama ni wao wenyewe.

Ukimwona - Diamond mwenyewe
Nashindwa - Bella Mwenyewe
Nyota ing'ae imeimbwa na Msechu ila imetungwa na Amini wa THT

Na Yule imeimbwa na Ruby ila imetungwa na Barnaba.

Ana Malele imeimbwa na Shilole ila imetungwa na Barnaba

Hamjui na Siri zimeimbwa na Vannesa Mdee ila zimetungwa na Barnaba.

Naona Bora nikimbie, atatamani zimeimbwa na Linah ila zimetungwa na Amini.

Kizungu zungu na Upepo zimeimbwa na Rechol ila zimetungwa na Barnaba na Amini kwa pamoja.

Siyo kisa pombe imeimbwa na Mwasiti ila imetungwa na Barnaba.

Mapito imeimbwa na Mwasiti ila imetungwa na Amini.

Kariakoo imeimbwa na Mataaluma ila imetungwa na Ditto

Angalau sasa nina furaha imeimbwa na Linah ila imetungwa na Ditto.

Maumivu Niacheee imeimbwa na Kadja ila imetungwa na Ditto

Hello Hello Tanzania imeimbwa na Linah na wenzake ila imetungwa na Ditto.

Hawa Madogo wamewatungia wenzao nyimbo zaidi ya hizi nilizoandika hapa kwangu ndiyo watunzi bora. Nikiwapanga kwa namba watakuwa

1) Barnaba
2) Amini
3) Ditto
 
pamoja mkuu. hawa vijana wamejipanga. zao la tht
 
Wewe ndio BARNABA bila shaka
 
Barnaba yuko vizuri mnoo

Ni kweli anajitahidi ila aache kuwaponda wengine. Juzi juzi alinukuliwa akisema Diamond si mwanamuziki kitu ambacho nadhani si sahihi sana. Yeye afanye yake hukumu ya nani ni mwanamuziki na nani sio awaachie wateja ambao ni wapenzi wa muziki
 
Ukimwona - Diamond mwenyewe
Nashindwa - Bella Mwenyewe
Nyota ing'ae imeimbwa na Msechu ila imetungwa na Amini wa THT

Na Yule imeimbwa na Ruby ila imetungwa na Barnaba.

Ana Malele imeimbwa na Shilole ila imetungwa na Barnaba

Hamjui na Siri zimeimbwa na Vannesa Mdee ila zimetungwa na Barnaba.

Naona Bora nikimbie, atatamani zimeimbwa na Linah ila zimetungwa na Amini.

Kizungu zungu na Upepo zimeimbwa na Rechol ila zimetungwa na Barnaba na Amini kwa pamoja.

Siyo kisa pombe imeimbwa na Mwasiti ila imetungwa na Barnaba.

Mapito imeimbwa na Mwasiti ila imetungwa na Amini.

Kariakoo imeimbwa na Mataaluma ila imetungwa na Ditto

Angalau sasa nina furaha imeimbwa na Linah ila imetungwa na Ditto.

Maumivu Niacheee imeimbwa na Kadja ila imetungwa na Ditto

Hello Hello Tanzania imeimbwa na Linah na wenzake ila imetungwa na Ditto.

Hawa Madogo wamewatungia wenzao nyimbo zaidi ya hizi nilizoandika hapa kwangu ndiyo watunzi bora. Nikiwapanga kwa namba watakuwa

1) Barnaba
2) Amini
3) Ditto

yeah! Jamaa wako vizuri sana kwenye utunzi,ukisikiliza tungo zao zina vionjo vya moyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom