Naishi japan kwa mwaka wa pili sasa. Huku barid ni miezi mitano kuanzia novemba hadi march. Barid kali ya mbeya ni sawa na ya japan ya mid november. By january huwa nyuzijoto 3 mchana na minus 5 ucku! Huo ni upepo tu, barid ipo kwa watu