Baridi la Mbeya

Baridi la Mbeya

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,430
115.JPG
 
Kitu cha RRM Uyole...naona vibanda vilivyozunguka uwanja wa maonesho vya Mwakangale
 
Hapo kwenye msitu nina ka historia fulani na ka bint fulani du umenikumbusha.
 
Hivi ni status ya baridi? Inaonekana kweli?
 
Naishi japan kwa mwaka wa pili sasa. Huku barid ni miezi mitano kuanzia novemba hadi march. Barid kali ya mbeya ni sawa na ya japan ya mid november. By january huwa nyuzijoto 3 mchana na minus 5 ucku! Huo ni upepo tu, barid ipo kwa watu
 
sijakuelewa hapo kwenye red
Naishi japan kwa mwaka wa pili sasa. Huku barid ni miezi mitano kuanzia novemba hadi march. Barid kali ya mbeya ni sawa na ya japan ya mid november. By january huwa nyuzijoto 3 mchana na minus 5 ucku! Huo ni upepo tu, barid ipo kwa watu
 
kumbe hata huku naweza weka ile shindano la mvuto? ngoja nikalilete
 
Back
Top Bottom