Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 8,711
- 19,296
Kilimanjaro mkuu...Mlima meru ama?
Kilimanjaro mkuu...Mlima meru ama?
Haupo Arusha[emoji41]Kilimanjaro mkuu...![]()
Nilisha kimbia mda kidogo mkuu pande hizo...Haupo Arusha[emoji41]
Unapata na kiburudisho cha mtoto wa Kimeru au Mbulu
Kama leo 😰❄️Leo hali iko poa ila juzi nilitetemeka kama bata.
Pole DepalKama leo 😰❄️
Halafu kumbe majiraniShukrani.
Majirani wa nini? 😂Halafu kumbe majirani
Maeneo tuliyopoMajirani wa nini? 😂
Amka unywe chai.Hii yaleo imezidi. Kwa tulioshinda home leo ni mwendo wa kulala muda wote kama wagonjwa