Nyambala
JF-Expert Member
- Oct 10, 2007
- 4,465
- 1,170
Wakuu nasikiliza BBC hapa, tume inadai haijatoa matokeo mpaka sasa kwa sababu software mpya ya kuload data za uchaguzi inawafanya wawe too slow. Kwa hiyo wamekubaliana na vyama husika kutumia mfummo wa zamani "Excel sheets"
Wanasema eti kuna vituo kama 700 kwa hiyo kujumlisha matokeo hayo na kupata matokeo yake inaweza kuwa kesho. Are these guyz serious????? Yaani kufanya 700 data entries inachukua muda gani???? Who do we have kwenye hii tume???????????? Yaani huu ni upuuzi usioelezeka!!!!!!!