Bariadi - tume haiko serious | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bariadi - tume haiko serious

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Nyambala, Nov 2, 2010.

 1. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wakuu nasikiliza BBC hapa, tume inadai haijatoa matokeo mpaka sasa kwa sababu software mpya ya kuload data za uchaguzi inawafanya wawe too slow. Kwa hiyo wamekubaliana na vyama husika kutumia mfummo wa zamani "Excel sheets"

  Wanasema eti kuna vituo kama 700 kwa hiyo kujumlisha matokeo hayo na kupata matokeo yake inaweza kuwa kesho. Are these guyz serious????? Yaani kufanya 700 data entries inachukua muda gani???? Who do we have kwenye hii tume???????????? Yaani huu ni upuuzi usioelezeka!!!!!!!
   
 2. M

  MpitaNjia Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We can call Tume ya Uchaguzi "RECYCLE BIN"........
   
 3. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna ukweli wake mkuu!! kuna watu hawajui hata kutumia hizo computer angalau hao wanaonekana wanajua jua kidogo sema sisi tunataka matokeo ndo presha inapanda inashuka. Ila hali ikoje mkuu huko?
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Aiseee hapo ni kuwa makini uchakachuzi wa kura usiwepo!
   
 5. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  ndo mambo ya mtoto washangazi eeeh!
   
 6. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sipo huko mkuu nimesikia kutoka BBC swahili. Na hili la computer is just as funny yaani kufanya data entry nayo inahitaji degree ya computer science????? Anywayz hii inatoa picha halisi ya ni namna gani tunavyofanya mambo kibabaishaji!
   
 7. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Naona chaguzi zijazo tuongee na Bill gates atutengenezee user friendly sofware ya uchaguzi wa Tz tuu
   
 8. M

  Mkulima JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 698
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Nyambala,

  Hivi kweli unawaelewa watu wetu? Mwendo wa kudonoa mpaka ukurasa ujae ni kazi kweli kweli.

  Nimemsikiliza hata mimi na inaelekea hayo matatizo ndiyo yamesumbua hata Ubungo kwa Mnyika.

  Umesahau yale ya USA ya hanging, pregnant or dimpled chads? Ukiingiza technology kwenye hizi projects kubwa na ukichanganya na watu kukosa umakini, matatizo yanatokea.
   
 9. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ni kweli kabisa mkuu, tena bongo funny enough hata benki ni mwendo huo huo wa kudonoadonoa. Lakini kitu nisichoelewa ni kwamba matokeo wanayo right? Wameamua kutumia excel, sasa hata kama ni kudonoa donoa wanafanyaje hivyo kwa data 700 kwa masaa zaidi ya 10.
   
 10. B

  Bumela Senior Member

  #10
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 148
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  unataka kusema TUME ilikuwa haijui inachokifanya? Tuna watz wnagapi wenye uwezo wa computer.Kwahiyo tuamini kuwa Watz wanaojua comp. ni hao tu au ndio kutaka njia ya kuchakachua.
   
 11. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Kuna vilaza na vihiyo watupu huko tume maana kule nepotism ndo mwake, wanapeana kazi kiushikaji. Yule mkurugenzi wa uchaguzi naye amechoka mzee. Ile kazi ni hectic sana inahitaji damu changa. Ningeshauri mkurugenzi wa uchaguzi awe kati ya miaka 30-55 tu. Mzee yule kama hajadanganya umri wa kustaafu sijui, maana anaonekana ni over 60 years, amechoka. Tume nzima kwa ishara za uchaguzi mbovu mwaka huu inatosha kabisa kuwa overhauled!!
   
Loading...