mkuu kama una smartphone mbona unatengeneza mwenyewe tu ndani ya dk 5 ushamaliza inabaki kuprint tu,ingia playstore kama una android utakuta app kibao za kutengeneza barcode,angalio ambayo iko rated vizuri

Kama unataka na uko serious watafute hawa GS1 wako world wide hapa dar es salaam wanapatikana mikocheni kama sijakosea. Google hilo jina utapata details zao na contacts
mkuu kama una smartphone mbona unatengeneza mwenyewe tu ndani ya dk 5 ushamaliza inabaki kuprint tu,ingia playstore kama una android utakuta app kibao za kutengeneza barcode,angalio ambayo iko rated vizuri
yenye nyota nyingi kuanzia 4 kwenda mbele,mtu akitumia na kuona ni nzuri hua wana i rate ili na wengine waone ni nzuri kwa hiyo iliokua na nyota nyiingi iko rated vizuri zaidi