incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,530
- 4,274
deleted samahan mods naona hamjatuwekea option ya kufutahapa nimejiongeza
Ahsante mkuu vp kuhusu kubadili coz coz chuon hakuna usumbufu wowote??NIMESHITUKA NDUGU YANGU,IKIMBIE HARAKA KWAKUENDA KUBADILISHA.NA WENGI PASIPO KUULIZA WAMEJIKUTA WANAINGIA HUKO WANAKUJA KUJUTA BAADA YA KUANZA MASOMO.HIYO KOZI SI YA UALIMU NI YA UBOBEZI TU WA KISWAHILI KWA HIYO AJIRA ZAKE SANA SANA UAJIRIWE BAKITA.HUKO NYUMA WALIKUWA KWENYE UALIMU WANAWACHUKUA LKNHULIPWI KAMA MWALIMU KWASABABU HIYO KOZI SI UALIMU.WAKATI HUU UTASOTA NDUGU YANGU MAANA UTAENDA KUBOBEA KWENYE MAHISTORIA YA LUGHA,KAMUSI NK.HII KOZI PACHA WAKE ANAITWA BACHELOR OF ARTS IN ENGLISH
Hahaaa mkuu Nimependa hapo kwenye pacha wake. .NIMESHITUKA NDUGU YANGU,IKIMBIE HARAKA KWAKUENDA KUBADILISHA.NA WENGI PASIPO KUULIZA WAMEJIKUTA WANAINGIA HUKO WANAKUJA KUJUTA BAADA YA KUANZA MASOMO.HIYO KOZI SI YA UALIMU NI YA UBOBEZI TU WA KISWAHILI KWA HIYO AJIRA ZAKE SANA SANA UAJIRIWE BAKITA.HUKO NYUMA WALIKUWA KWENYE UALIMU WANAWACHUKUA LKNHULIPWI KAMA MWALIMU KWASABABU HIYO KOZI SI UALIMU.WAKATI HUU UTASOTA NDUGU YANGU MAANA UTAENDA KUBOBEA KWENYE MAHISTORIA YA LUGHA,KAMUSI NK.HII KOZI PACHA WAKE ANAITWA BACHELOR OF ARTS IN ENGLISH
Hahaaa mkuu Nimependa hapo kwenye pacha wake. .
NINACHOMAANISHA MM HAPO NI KWAMBA HIYO KOZI IPO SIJAJUA WEWE HAPO UNAMAANISHA NINI?ULICHOANDIKA WEWE PIA KIPO SIKATAI ILA MASAHIHISHO YAKO SIJAONA UMUHIMU WAKE
MASAHIHISHO:
PACHA WAKE ANAITWA
"Bachelor of Arts in Language Studies"
NA SIO
" .... in English".
Kweli kbs aisee Course Hyo Labda uchukue Ukiwa Unaenda kusoma masters ila kwa degree hy lzm ukufe na shida za kimaishaNIMESHITUKA NDUGU YANGU,IKIMBIE HARAKA KWAKUENDA KUBADILISHA.NA WENGI PASIPO KUULIZA WAMEJIKUTA WANAINGIA HUKO WANAKUJA KUJUTA BAADA YA KUANZA MASOMO.HIYO KOZI SI YA UALIMU NI YA UBOBEZI TU WA KISWAHILI KWA HIYO AJIRA ZAKE SANA SANA UAJIRIWE BAKITA.HUKO NYUMA WALIKUWA KWENYE UALIMU WANAWACHUKUA LKNHULIPWI KAMA MWALIMU KWASABABU HIYO KOZI SI UALIMU.WAKATI HUU UTASOTA NDUGU YANGU MAANA UTAENDA KUBOBEA KWENYE MAHISTORIA YA LUGHA,KAMUSI NK.HII KOZI PACHA WAKE ANAITWA BACHELOR OF ARTS IN ENGLISH
Wakuu naomba msaada ukipangwa hiyo coz unakuwa unasomea kuwa mtu gani tz hii?? Na ajira za wanaosoma single subject znakuwa zip??
Unaenda kusoma ajira au??Wakuu naomba msaada ukipangwa hiyo coz unakuwa unasomea kuwa mtu gani tz hii?? Na ajira za wanaosoma single subject znakuwa zip??
Mwambie kama ana penda kundisha kiswahili, akasome BAEd achukue kiswahili kama somo tuAiseee rafiki angu kapangwa hii coz sijui ntamwambiaje kua haina soko ili aikimbie mapema coz nayeye sio familia bora anategemea ajira za serikalini
Watu huwa hawajui lengo ka hizi kozi, nyingi ziliwekwa kuwafundisha ma foreigners hasa basics za lugha yetu, lakini huwezi kumzuia mtu kuisoma kama ana taka ila mwisho wa siku hakuna pa kwenda, ukisema uende BAKITA kuna vile vizee huwa havitoki kazi kuweka misamiati migumu tuu, mara kisimbuzi, nywila kidadavuzi mpakato, ilimradi tuu vionekane vina fanya kaz na visi tolewe
NIMESHITUKA NDUGU YANGU,IKIMBIE HARAKA KWAKUENDA KUBADILISHA.NA WENGI PASIPO KUULIZA WAMEJIKUTA WANAINGIA HUKO WANAKUJA KUJUTA BAADA YA KUANZA MASOMO.HIYO KOZI SI YA UALIMU NI YA UBOBEZI TU WA KISWAHILI KWA HIYO AJIRA ZAKE SANA SANA UAJIRIWE BAKITA.HUKO NYUMA WALIKUWA KWENYE UALIMU WANAWACHUKUA LKNHULIPWI KAMA MWALIMU KWASABABU HIYO KOZI SI UALIMU.WAKATI HUU UTASOTA NDUGU YANGU MAANA UTAENDA KUBOBEA KWENYE MAHISTORIA YA LUGHA,KAMUSI NK.HII KOZI PACHA WAKE ANAITWA BACHELOR OF ARTS IN ENGLISH
Vizee noma. Vinatunga misamiati rasmi wakati hakuna anayeitumia. Matokeo yake misamiati hii inabakia vitabuni tu mwishowe inajifia yenyewe. Hata faida yake huwa siioni!