Bukayo jr
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 2,782
- 1,647
jamaa wamemzawadia gori la kizembe!!jamaa anaongelea 90 sasa
mpaka hapo mchezaji bora ulaya,dunia,la liga,mfungaji bora La liga zote tuzo zake CR7 alie tu messi el maginifico a.k.a andunje
jamaa wamemzawadia gori la kizembe!!jamaa anaongelea 90 sasa
real madrid imeishaje huko!!Barcelona 9 points clear on top of the La liga BBVA table
real madrid imeishaje huko!!
ok,kila la heri kwa barca,madrid inabidi ajaribu bahati kwa kumfukuzia Atletico!walitoka 2-2 na Espanyol wameachwa point 13 na Atletico ameachwa 9 na barcelona
ok,usiku mwema kama uliko ni usiku tukutane tena uwanjani siku nyingine,by the way hivi mechi za champions zinaanza lini!walitoka 2-2 na Espanyol wameachwa point 13 na Atletico ameachwa 9 na barcelona
na umri bado unamruhusu kuendelea kuitumikia barca kwa muda mrefu!!!MESSI is probably the best player barcelona has ever have! Huyu mtu ni kama ana pepo la mpira
ok,usiku mwema kama uliko ni usiku tukutane tena uwanjani siku nyingine,by the way hivi mechi za champions zinaanza lini!
MESSI is probably the best player barcelona has ever have! Huyu mtu ni kama ana pepo la mpira