Zamaulid
Platinum Member
- May 25, 2009
- 20,183
- 16,458
range ya point iko vipi kwani!!!Kwa matokeo ya RM na Espanyol Barca ikishinda imekula kwao wajipange next season maskini
range ya point iko vipi kwani!!!Kwa matokeo ya RM na Espanyol Barca ikishinda imekula kwao wajipange next season maskini
range ya point iko vipi kwani!!!
ok,lakini naona bado haitakuwa imemhakikishia njia nyeupe barca kwani naona hata hao atletical bado ni threat kwa barca!Ilikuwa point 11 kabla ya fixtures za leo matokeo yakibaki yalivyo itakuwa 13 kati ya El clasico giants
ok,lakini naona bado haitakuwa imemhakikishia njia nyeupe barca kwani naona hata hao atletical bado ni threat kwa barca!
ha ha ha ha Anduje anataka kuvunja record ya mzambia!!!sawa lakini hawawezi kuwa consistent kama Barca mpaka mwisho wa msimu njia nyeupe hakuna ila Barcelona season hii wamekuwa wakali sana na bado ANDUNJE messi ataongeza goli tu pale
ha ha ha ha Anduje anataka kuvunja record ya mzambia!!!
Messi ameshamlipa Falcao...sasa magoli 89
jamaa walianza kwa mkwara nikajua leo barca ana shughuri kumbe ulikuwa mkwara tu!!!!Barcelona 3 Atletico Madrid 1
Ni kweli.Nao wana timu nzuriila Atletical nao si haba!!!
du hawa barca hawaaa!!wanacheza utafikiri wametoka mwezini!!!!!!namaanisha wanacheza utafikir si wa dunia hiii!!
jamaa wamemzawadia gori la kizembe!!jamaa anaongelea 90 sasaMessi 4-1