Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,166
- 2,670
Hii ni Barca ya ukweli...
Ukianza kuwafunga hawa watu(Barca) wakati mchezo unaendelea, ni sawa na kuwachokoza nyuki kwenye mzinga wa nyuki, kutoka uwanjani unatoka na ulimi nje hoiii bin taaban!