leo kunamtanange wa kukata na shoka pale wanapokutana barca na bayern....barca inaingia uwanjan ikiwa na kumbukumbu ya kuchapwa goli 7-0 kwenye nusu fainali ya UCL JE BARCA LEO ATACHOMOKA KWELI CHINI YA KIKOSI CHA PEP...??THIJUI YANGU MACHO!!!
Showroom ya Neymar!saa ngapi?
2nd half dk 55, Bavaria 1-0 Catalan
Wakatalunya wamejaza vitoto tu
hahahaWalikula wiki kwenye mashindano...
Achana na haya matamasha ambayo wachezaji hata hawatoki jasho au kuparamiana.
Barca ushuzi tu
hahaha
nani wamekula pipoz pawa hao?jana wamekula "pipoz pawa"