Usijali kaka,kawaida Bayern kwao sijui wanatumia madawa ya kuongeza nguvu,ila usikonde,in Barcelona we trust,niamini,tunafanya mauaji ya kimbari Nou Camp,ndio timu isiyo na ugonjwa wa moyo hii,nawapa 52% Barca wanapita kwenda final,amini usiamini,subiri tarehe 2 ntakuja,najua maadui wanafurahi ila watasema mchana na usiku hiyo tarehe 1 au 2 watalala.Katika UCL jana nusu fainali kati ya FC Bayern Munich na FC Barcelona imeonesha kuwa Barca hatukuenda kushindana ila kuonesha 'individual skill of players to possess the bal'. Pamoja na fitina za Wajerumani lakini tukiri tumefungwa na Real Madrid leo tusubiri kuona mabao mangapi wakifungwa.
Usijali ingekuwa ni Barcelona wa2 wangedai oh UEFAlona,ila no sweti hawa we2 na mechi ya marudiano huyo Muller akifanya tena basi ajue atawakosti wenzie kwa red card,naiamini Barcelona,wana uwezo hata wa kukufunga 5-0,Bayern wakae mkao wa kula shughuli wanayo wasidhani wamemaliza kazi.Mkuu, goli la kwanza Danke alimzuia Dani kuruka kwa kumkandamiza mabega, goli la pili la Muller alilifunga akiwa 'offside' tena watangazaji wa SS3 (kiingereza) walilalamika vilevile na la tatu Jordi alisukumwa ili asiuwahi mpira uliokuwa unafuatwa na Roben vilevile.
juu ya kua sijui hizo sheria lakini ukimfanyia foul mchezaji ndani ya uwanja hata kama atakua hana mpira hiyo ni foul la pili jardi alba alikua yuko katika harakati za kwenda kumkabili robben muler akamsukuma kwa iyo hiyo sio foul umejifunza wapi sheria za mpira mkuu au wee nawe ndio mshabiki wa man u kwa vile barca kafungwa umefurahi manaake leo mashabiki wa man u real madrid ac milan na wa psg na wa celtic na hata wa chelsea wamefurahi kwa barca kufungwa.ila wasije kununa barca kuja kufanya maajabu ya mwaka ya kumpiga 5-0 bayern pale camp nou. Najua wingi wataona kama haiwezekani vile ila hivyo ndivyo ilivyo .
Mkuu, goli la kwanza Danke alimzuia Dani kuruka kwa kumkandamiza mabega, goli la pili la Muller alilifunga akiwa 'offside' tena watangazaji wa SS3 (kiingereza) walilalamika vilevile na la tatu Jordi alisukumwa ili asiuwahi mpira uliokuwa unafuatwa na Roben vilevile.
Poa mkuu.Usijali kaka,kawaida Bayern kwao sijui wanatumia madawa ya kuongeza nguvu,ila usikonde,in Barcelona we trust,niamini,tunafanya mauaji ya kimbari Nou Camp,ndio timu isiyo na ugonjwa wa moyo hii,nawapa 52% Barca wanapita kwenda final,amini usiamini,subiri tarehe 2 ntakuja,najua maadui wanafurahi ila watasema mchana na usiku hiyo tarehe 1 au 2 watalala.
Bado hawakati tamaa, EPL wamefurahi mno.Usijali ingekuwa ni Barcelona wa2 wangedai oh UEFAlona,ila no sweti hawa we2 na mechi ya marudiano huyo Muller akifanya tena basi ajue atawakosti wenzie kwa red card,naiamini Barcelona,wana uwezo hata wa kukufunga 5-0,Bayern wakae mkao wa kula shughuli wanayo wasidhani wamemaliza kazi.
Usijali ingekuwa ni Barcelona wa2 wangedai oh UEFAlona,ila no sweti hawa we2 na mechi ya marudiano huyo Muller akifanya tena basi ajue atawakosti wenzie kwa red card,naiamini Barcelona,wana uwezo hata wa kukufunga 5-0,Bayern wakae mkao wa kula shughuli wanayo wasidhani wamemaliza kazi.
Ni wakati wenu kuongea,ila in Spain i trust,mechi bado HT,tusubirini tarehe 2 Mei.ukijua kitu kinaitwa tunajifunza kutokana na makosa basi subiri unachosubiri.. #UefachamsBarcaACmilan
Sana ila wasilale tena EPLBado hawakati tamaa, EPL wamefurahi mno.