Barca trio shortlisted for Ballon d'Or

Belo

JF-Expert Member
Jun 11, 2007
12,895
10,209
Barcelona's creative triumvirate of Lionel Messi, Xavi Hernandez Creus and Andres Iniesta have been shortlisted for the FIFA Ballon d'Or award, with the winner to be crowned the world's best player of 2010.

lionelmessi,andresiniestaandxavi20101204_275x155.jpg
APMessi, Iniesta and Xavi have been the architects of Barca's success in recent years



The FIFA Ballon d'Or merges the two major player prizes - the FIFA World Player of the year, voted for by players and coaches, and the Ballon d'Or, which was handed out by journalists via France Football magazine - for the first time next month.
Messi picked up both awards last year but is the outsider to claim it again in Zurich on January 10 despite a phenomenal 12 months. He netted 34 goals in Barca's 2009-10 La Liga success while he has started the new season in blistering scoring form claiming 22 goals in just 18 games - with 19 of those coming in his last 12 appearances.
The only blemish for the diminutive playmaker was a goalless World Cup for Argentina, as Diego Maradona's side exited at the quarter-final stage to Germany. That is the main reason why the award is likely to go to one of Spain's world champions.
In contention to usurp Messi as the world's best player are his club team-mates Xavi and Iniesta - who are joint favourites to win the award. The midfielders have enjoyed a wonderful year at both domestic and international level, having triumphed in the Primera Division with Barca and the World Cup with Spain.
However, Inter Milan president Massimo Moratti criticised the absence of Inter and Holland midfielder Wesley Sneijder from the shortlist. Sneijder was widely regarded as Inter's best player in their treble-winning season and also impressed as the Dutch reached the World Cup final.
''I find it very unfair,'' Moratti said on Inter's official website. ''Sneijder had a phenomenal year, won everything he could have won. For me he deserved the Ballon d'Or. It seems unfair the award is to be given to someone who, although a great player, didn't have the same level of performance throughout the year.''
The three women shortlisted were Brazilian Marta, a four-time FIFA Women's World Player of the Year, and German duo Fatmire Bajramaj and Birgit Prinz.
Barca's Pep Guardiola, Jose Mourinho, who won an unprecedented Serie A, Coppa Italia and Champions League treble with Inter Milan before switching to Real Madrid in the summer, and Spain's World Cup-winning coach Vicente del Bosque were shortlisted for the male Coach of the Year award.
Maren Meinert (Germany Under-20 national team), Silvia Neid (Germany national team) and Pia Sundhage (United States national team) will contest the women's category.
 
Nimenza kuamini hawa FIFA ni wasanii,Schneider ndio anastahili kuwa mchezaji bora siamini kama MESSI alikuwa bora kuliko Schneider last season
 
Nimenza kuamini hawa FIFA ni wasanii,Schneider ndio anastahili kuwa mchezaji bora siamini kama MESSI alikuwa bora kuliko Schneider last season
Usanii! Siamini maana kuna wengi tu wanaokuwa involved,Messi bado anaendelea kung'ala na Schneyder ana msimu mbaya na timu yake haifanyi vizuri Serie A
 
Usanii! Siamini maana kuna wengi tu wanaokuwa involved,Messi bado anaendelea kung'ala na Schneyder ana msimu mbaya na timu yake haifanyi vizuri Serie A
Mkubwa mwaka ambao kuna World Cup mchezaji bora hupatikana kutokana na perfomance ya World Cup
2006-FABIO CANAVARO alichukua baada ya Italy kubeba WC
2002-RONALDO DE LIMA alichukua baada ya kuwa top scorer wa WC na kubeba kombe
1998-ZINEDINE ZIDANE alichukua baabda ya kuwaua Brazil na kubeba WC
Watu wanaangalia mafanikio ya sasa but hii tuzo wanaangalia perfomance ya msimu uliopita na sio huu
 
Mkubwa mwaka ambao kuna World Cup mchezaji bora hupatikana kutokana na perfomance ya World Cup
2006-FABIO CANAVARO alichukua baada ya Italy kubeba WC
2002-RONALDO DE LIMA alichukua baada ya kuwa top scorer wa WC na kubeba kombe
1998-ZINEDINE ZIDANE alichukua baabda ya kuwaua Brazil na kubeba WC
Watu wanaangalia mafanikio ya sasa but hii tuzo wanaangalia perfomance ya msimu uliopita na sio huu
Nimekuelewa ndugu yangu, kwangu mimi yangu ni haya;-

-Iniesta yupo pale kwa sababu tu ya goli la fainali ya WC, kwangu sioni kama hii inamfanya kuwa bora zaidi ya Schneyder, hapa tunadanganyana tu

-Xavi! Sawa, ni mzuri kaibeba Spain na Barca,tukirudi kwenye perfomance ya msimu uliopita plus WC hapa kidogo naona ni chini ya Schneyder, so kama Xavi au Iniesta atashinda hii tuzo basi kuna walakini na itakuwa ni tuzo iliyopooza. Lakini Messi,huyu anastahili kuwepo ukiachilia mbali matatizo ya Argentina National team. Amekuwa consistence throughout the year, hata wale Soccer Pundits wanajua hilo na hawapati tabu.

To me, XavIniesta are no where close to huyo Schneyder lakini si Messi!!
 
Iniesta nusu ya kwanza ya msimu alikuwa majeruhi alikuja kuonekana kwenye final ya WC,XAVI anastahili kuwepo ndio backbone ya Barca na Spain,Mesi amekuwa top scorer la liga& champs league kusingekuwa naWC angestahili,SHNEJDER kabeba Serie A,Champs league,Super cup italy,kwenye WC amefika final & alikuwa joint top scorer wa WC na Forlan
 
FIFA wanaendeleza uzushi wao tena. Kiukweli Wesley sneijder angetakiwa japo atinge kwenye top 3 maana mwaka jana aliisaidia Inter kuchukua vikombe vitatu na pia walifika fainali team ya taifa. The fact kwamba Inter inachemsha kichizi msimu huu inaweza kuwa imechangia (kumbuka, wanatafuta the best player for 2010, maana yake na performance ya SASA inaangaliwa).

Kwa wale watatu, sintoshangaa kabisa akipewa Xavi. Kwanza akiwa na Spain walichukua WC na pia, yeye amekuwa chachu ya mafanikio ya Messi. Performance ya messi ya sasa hivi inaweza ikafunika kilichotokea WC na wadau wakampigia kura tena.

But looking at it again, si kweli kwamba Messi alicheza vibaya kwenye WC, ingawa hakufunga bao hata moja, Messi alishiriki kutengeneza karibia mabao yote waliyofunga Argentine
 
KLABU ya Barcelona imetoa wachezaji watatu, Andres Iniesta, Xavi Hernandez na Lionel Messi wameteuliwa katika orodha ya wachezaji watatu wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa soka wa mwaka ambayo safari hii itajumuisha pia ile ya mpira wa dhahabu, “Ballon d’Or” .

Viungo Iniesta and Xavi waliisaidia kwa kiasi kikubwa Hispania kutwaa taji lake la kwanza la dunia huku mshambuliaji wa Argentina , Messi akiwa amefanikiwa kuiongoza Barca kutwaa ubingwa wa Hispania.

Messi alitwaa tuzo ya Ballon d’Or, mwaka jana iliyokuwa ikitolewa na jarida la France Football kwa mchezaji bora Ulaya.

Kwa mara ya kwanza, tuzo hiyo imeunganishwa na ile ya Fifa ya mchezaji bora na kutoa tuzo moja.

“Ni heshima kubwa kuwa miongoni mwa wateule wanne wa Fifa Ballon d’Or, kikubwa zaidi kuwa nao Xavi na Leo,” alisema Iniesta kupitia mtandao wake binafsi, Facebook . “Ni tuzo kubwa kwa shule yetu ya soka.”

Tuzo ya kocha bora kwa mara ya kwanza inawaniwa na Jose Mourinho aliyetwaa taji la ubingwa Ulaya akiwa na Inter Milan ambayo ilitwaa pia ubingwa wa Italia ambaye atachuana na Vicente del Bosque, kocha wa Hispania na yule wa Barcelona, Pep Guardiola.

“Barca imeandika historia kwa kutoa wachezaji watatu wazaza waliongia tatu bora ,” ilieleza klabu hiyo kupitia mtandao wake.

AC Milan ilitoa wachezaji watatu miaka iliyopita, lakini si wale waliokulia klabuni hapo. Hao ni, Marco van Basten, Ruud Gullit na Frank Rijkaard ambao walitwaa nafasi tatu za juu kwa mwaka1988; wakifuatiwa na Van Basten, Franco Baresi na Rijkaard mwaka 1989.

Baresi alijiunga na Milan akiwa na miaka 17, wakati Wadachi watatu, Van Basten, Rijkaard na Gullit walikuwa wageni.

Ligi ya Hispania mwaka jana ilitoa wachezaji wote watatu, ambako Messi alishinda , Xavi akiwa wa tatu a winga wa Real Madrid , Cristiano Ronaldo, akiwa wa pili.

Mshindi wa tuzo hiyo atajulikana Januari. 10.

“Barcelona imetawala ligi ya Hispania kwa muda mrefu sasa,” alisema Katibu Mkuu wa Fifa, Jerome Valcke.
“Si kwamba soka ya Hispania ndiyo imetawala kwa sasa, labda Barcelona pia. Soka yao imekuwa juu tangu 2008.”

Iniesta ndiye aliyefunga bao la ushindi lililoipa ushindi Hispania dhidi ya Uholanzi, Julai 11 nchini Afrika Kusini.

Alipokea pasi murua kutoka kwa kiungo wa Arsenal, Cesc Fabregas na kuiepusha nchi yake na mikwaju ya penalti.

Xavi, pengine ndiye aliyekuwa mchezaji aliyeng'ara kwa Hispania wakati wa michuano hiyo, lakini Iniesta aking'ara katika kiungo.

Sehemu ya kiungo ya Hispania ilitamba pia wakati nchi hiyo ilipotwaa ubingwa wa Ulaya mwaka 2008 ikiwa na wachezaji kadhaa wa Barcelona.

Messi, kwa upande wake alikatisha tamaa wakati wa fainali ya Kombe la Dunia.

Alishindwa kufunga bao lolote nchini Afrika Kusini baada ya kufunga mabao 34 tya ligi kabla ya fainali hizo. Argentina ilikung'utwa 4-0 na Ujerumani kwenye robo fainali.

Lakini, msimu huu Messi ameonyesha makali kwa Barcelona akiwa tayari amefunga mabao 15 ya ligi kati ya mechi12.

“Ninadhani Leo anastahili, ni bora . Lakini, ninaamini kuwa wote wanastahili tuzo,” alisema Guardiola. “Kila mmoja ana kuiwango chake, lakini ninajivunia mafanikio yao.”
 
fifa wanaendeleza uzushi wao tena. Kiukweli wesley sneijder angetakiwa japo atinge kwenye top 3 maana mwaka jana aliisaidia inter kuchukua vikombe vitatu na pia walifika fainali team ya taifa. The fact kwamba inter inachemsha kichizi msimu huu inaweza kuwa imechangia (kumbuka, wanatafuta the best player for 2010, maana yake na performance ya sasa inaangaliwa).

Kwa wale watatu, sintoshangaa kabisa akipewa xavi. Kwanza akiwa na spain walichukua wc na pia, yeye amekuwa chachu ya mafanikio ya messi. Performance ya messi ya sasa hivi inaweza ikafunika kilichotokea wc na wadau wakampigia kura tena.

But looking at it again, si kweli kwamba messi alicheza vibaya kwenye wc, ingawa hakufunga bao hata moja, messi alishiriki kutengeneza karibia mabao yote waliyofunga argentine
alitengeneza goli gani mkuu
 
Barcelona Star Xavi Slams Wesley Sneijder Ballon D'Or Snub

Xavi believes Sneijder should have been included in the Ballon d'Or top three...

By Rick D'Andrea

Dec 9, 2010 10:05:00 PM




117897_news.jpg

Liga BBVA: Xavi Hernandez (FC Barcelona) celebrates in Clasico (Getty images)

Barcelona midfielder Xavi has slammed the decision to exclude Inter star Wesley Sneijder as one of the three finalists for the FIFA Ballon d'Or.

MORE

The 26-year-old Dutchman was previously considered one of the favourites for the award before the three finalists were announced due to his crucial role in Inter's treble achievement in 2009-10, and leading the Netherlands to the 2010 World Cup final in South Africa.

The Spain international also spoke about the Blaugrana's recent victory over Real Madrid, and their form in the Champions League.

"For me, beating Real Madrid is at the top of my list, as they are one of our biggest rivals," he told Sport.es. "It was a fantastic thing, especially the scoreline.

"A lot of people don't support us for doing so well in both the league and Champions League. They cannot wait to lay the boots into us.

98619hp2.jpg
Sneijder: Champions League Delight; Ballon d'Or Disappointment

"As for Sneijder, I know that in Italy they are angry because he is not one of the finalists. I can only agree with them. The Dutchman has had a fantastic year," he concluded.

Xavi and Barcelona team-mates Andres Iniesta and Lionel Messi are the final three nominees for the prestigious award.
 
Usanii! Siamini maana kuna wengi tu wanaokuwa involved,Messi bado anaendelea kung'ala na Schneyder ana msimu mbaya na timu yake haifanyi vizuri Serie A

1. Kwani tunachagua mchezaji bora wa msimu huu ama msimu uliopita?

2. Hesabu mechi ambazo Iniesta Amecheza na ambazo hajacheza kutokana na majeruhi je zina uwiano sawa na Schneider?

3. Barca hawakufanya vizuri msimu uliopita ktk ligi ya mabingwa na pia Argentina walikula Harba ''4'' na kusukumwa nje ya mashindano ya WC je kwa kesi kama hizo utaweza kumpa mwanasoka bora Messi?

Then kumbuka kauli ya Jenerali ulimwengu alipata kunena haya ''FIFA ni genge la wahuni''.
 
UEFA President Michel Platini: I'm Supporting Inter & Wesley Sneijder Should Have Been In Ballon D'Or Final Three

UEFA president Michel Platini agrees Wesley Sneijder deserved Ballon d'Or podium and admits he will support Inter in the Club World Cup...

Dec 11, 2010 9:05:00 AM

http://www.google.com/buzz/post
36948_news.jpg
http://www.goal.com/en/news/article-image?id=36948

UEFA president Michel Platini laughs it up (firo)

UEFA president Michel Platini is the latest in voice in a hoard of condemnation for Wesley Sneijder's omission from the Ballon d'Or final three, but he offers solace and solidarity for Inter by supporting them at the Club World Cup.

Sneijder's exclusion from the final three - Barcelona trio Andres Iniesta, Xavi and Lionel Messi - sent a wave of disbelief around the football globe, and Platini feels the Dutchman should have been in.

"I would have said Xavi and then Sneijder, who for one goal didn't win everything, and then Iniesta," Platini told La Gazzetta dello Sport.

"It's unjust the Inter man not being in the top three."

Inter are in Abu Dhabi for the Club World Cup and their European roots pushes the UEFA leader to lean on them.

"As UEFA president I have to support Inter. Since my election European teams have always won," he said
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom