Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 322
- 1,208
Niambie tuon eet hujuma gani ilifanyika nkafungwa na kile kichuti cha ntoto!?Sasa kuna maana gani? Huyu ni upumbavu wa kiwango cha lami. Msieeeew, hapo staff waache upuuzi wao, tunataka mafanikio.
Hamkufanya replacement ya Bashite nayo imechangia kwa kiasi fulani.Hakuna hujuma wala uchawi, tukubali tu kwamba huu msimu wenzetu Yanga wamekuwa bora ndani na nje ya uwanja
Simba tumedrop ktk ubora wetu kulinganisha na misimu MINNE mfululizo tuliyotawala ndio maana hata tuliondolewa CAF champions lg hatua ya mtoano na wale Jwaneng na huku ktk ligi yetu tumeachwa gap kubwa na Yanga
Pia naona Simba tulibugi ktk replacement ya mwalimu Didier Gómez na kumleta Pablo, bado naona Gómez yupo bora sn kuliko hata Pablo
Hapa ndipo tatizo lilipoanziaHamkufanya replacement ya Bashite nayo imechangia kwa kiasi fulani.
Hapana walichokifanya Yanga ni kumaintain tu walipokuwepo toka msimu uliopita ila Simba ndiyo wameporomoka kutoka walipokuwa.Hakuna hujuma wala uchawi, tukubali tu kwamba huu msimu wenzetu Yanga wamekuwa bora ndani na nje ya uwanja...
Mm naijua Simba, sijaanza kushabikia Leo wala jana, nmeanza kwenda uwanjani kuangalia Simba enzi za akina Aston Padon, Juma Limonga, Sunday Juma, Mosses Mkandawile, Omary Hussein Kevin keegan.
Simba imeshazoea kuwa kama kuna mtu ndani ya uongozi hawamtaki basi wanahujumu timu ili mambo yao yafanikiwe.
CEO amebana sana mianya ya upigaji ndani ya timu, mambo ya kuchezea hela bila utaratibu hakubaliani nayo, wajanja wanataka fungu kubwa la kamati ya ufundi jambo ambalo CEO Barbra hakubaliani nayo, sasa kinachofanyika ni kumkalia vikao vya majungu ili aharibikiwe aonekane amefeli, Simba imemuachia timu yeye tena kwenye gemu ngumu dhidi ya yanga, wamejisemea, Ngoja tumuache tuone atafanya nn, ndicho kilichotokea jana dhidi ya yanga, akina Kaduguda waligoma kwenda kumsaidia kwa madai hawakubaliani na baadhi ya mambo ndani ya timu.
Simba ikiwa na Hassan Hassanoo, Kassim Dewji, Dalali, Magori, na baadhi ya wazee haiwez kufungwa na Yanga isipokuwa hujuma zinafanyika ili Barbra aondoke.Ndio maana namshauri Mo Dewji asiweke hela yake hiyo B 20, wajinga wajinga wengi pale klabuni kwetu.
Namshauri Barbra aachie ngazi ili Simba isonge mbele, kuna watu wanauza ishu ndani ya timu ili kumchafulia utendaji wake.
Hapana walichokifanya Yanga ni kumaintain tu walipokuwepo toka msimu uliopita ila Simba ndiyo wameporomoka kutoka walipokuwa.
Kwa hiyo anayehujumiwa ndio aachie ngazi? Mbona kama sielewi mada!Barbra aachie ngazi Simba kwa maslahi ya timu, wapigaji wengi ndani ya timu wanamhujumu