Barbara Gonzalez anamaanisha nini? Kuna nini Simba?

We binti wewe, hujambo!
 
Zungulai la kkoo lenye pua iliolala kama pua za nyani,
Unasemea Sope, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo ndo yoyote anampaa, halijui kukataa.

Si aliendaga Dubengaa, kuipa promo team ya ukwaju, kabla hajaangukia kidimbwi Fc, kumbe CEO alimdonyoa

Woiiiiiiiii
 
Huu ujumbe unamgusa Kila mtu.

Sema kwa WATANZANIA tulivyokuwa WATU wa kuunganisha unganisha Mambo, tunaweza kuhisi ujumbe unamgusa Mohamed DEWJI.

Asante kwa UJUMBE MZURI Madame Barbara, ujumbe umemgusa Kila mtu mdhurumati.
 
Hii nchi tamu sana sihami haki ya mungu
 
Upo vizuri
 
Duuuh...
 
Kwani kamtaja mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…