Labda hapa itaeleweka maana na mimi nimerudia kusoma
Barbara alikuwa ni mke wa Rais wa 41 na pia mama wa Rais wa 43 wa USA
Maana wote walikuwa wanajulikana kama Bush
Mumewe George Bush sr,mtoto wake George Bush jr.
George Bush sr alikuwa rais wa Marekani 1989-1992 kwa kipindi kimoja akashindwa na Clinton mtoto wake alikuwa rais wa Marekani kwa vipindi viwili kuanzia 2001-2008 akamuachia Obama.
Labda hapa itaeleweka maana na mimi nimerudia kusoma
Barbara alikuwa ni mke wa Rais wa 41 na pia mama wa Rais wa 43 wa USA
Maana wote walikuwa wanajulikana kama Bush