mwangalizi
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 842
- 512
Nani anathubutu aise, baba anafoka huyo! Utafikiri TupacNenda kamuulize JPM kwenye mikutano yake ya kampeni, yeye ndiye bado Rais.
Nani anathubutu aise, baba anafoka huyo! Utafikiri Tupac
Tatizo wanadamu wengi tuna kiburi cha uzima! Na jeuri ya madaraka! Hata hatuwakumbuki kina Firauni. Tunaweka wizi na dharau mbeleKuna mtu aliyekuwa Jabari kuliko Firauni wa Zama za Nabii Musa???-- Firauni aliishia wapi??, Hitler aliishia wapi??, Stalin aliishia wapi?? nk.
Baraza hadi tunaenda mwezi wa kumi limeshindwa kulipa fedha za picha za usajili kidato cha pili na nne 2020.
Picha hizo zilipigwa tangu Januari kwa shule za serikali.
Zilipigwa kwa pesa za nyanya, 500/= kwa kichwa cha mwanafunzi!
Tetesi zinasema pesa hizo zimeingizwa kwenye kampeni ya ccm na wengine wanasema wajanja wameziweka kwenye fixed akaunti na wanakula faida.
Ukweli ni upi?
Je, mmewalipa wapiga picha wote?
Ni kweli fedha zimeelekezwa kwenye kampeni ya ccm?
Ni kweli mmebuni mradi kufidia nyongeza za mishahara?
Mkoa gani ndugu?Tuwe wakweli tuache siasa, mbona hela washalipa toka wiki iliopita na Mimi ni mmojawapo nimelipwa na hata wachache ninaojuana nao pia nimewasiliana nao wamelipwa
Fake idz, yawezekana ndiyo baraza wenye fixed accountTuwe wakweli tuache siasa, mbona hela washalipa toka wiki iliopita na Mimi ni mmojawapo nimelipwa na hata wachache ninaojuana nao pia nimewasiliana nao wamelipwa
Mkoa gani ndugu?
Tanga hatujalipwa, nimecheki na Kilimanjaro, Arusha, Manyara, Singida na Mbeya, nao pia wanalia.Mkoa wa mwanza, vp uliandika barua kudai na uliandika account number? Kama ulijaza heb angalia kwenye account yako unaweza kuta ushalipwa. Mimi sms ya malipo ni hii hapa
Kiasi cha TZS __kimewekwa kwenye akaunti yako inayoishia na ___ tarehe 22-09-2020. NMB Karibu Yako!
Tanga hatujalipwa, nimecheki na Kilimanjaro, Arusha, Manyara, Singida na Mbeya, nao pia wanalia.
Kazi ya tangu Januari, 500/= wanakaa nayo mwaka mzima ni haki hiyo? Au unaona ni siasa?
Zimetumika kupanua uwanja chato. Kwani wapiga picha hamna watoto wa shule?Baraza hadi tunaenda mwezi wa kumi limeshindwa kulipa fedha za picha za usajili kidato cha pili na nne 2020.
Picha hizo zilipigwa tangu Januari kwa shule za serikali.
Zilipigwa kwa pesa za nyanya, 500/= kwa kichwa cha mwanafunzi!
Tetesi zinasema pesa hizo zimeingizwa kwenye kampeni ya ccm na wengine wanasema wajanja wameziweka kwenye fixed akaunti na wanakula faida.
Ukweli ni upi?
Je, mmewalipa wapiga picha wote?
Ni kweli fedha zimeelekezwa kwenye kampeni ya ccm?
Ni kweli mmebuni mradi kufidia nyongeza za mishahara?
Acha basi tukapiga selfie na huo uwanjaZimetumika kupanua uwanja chato. Kwani wapiga picha hamna watoto wa shule?
Kueni wazalendo,awamu ya tano inajenga SGR,stiglaz na kununua ndege kwa cash" sauti ya magufuli akiwa anawapiga wananchi wake