Baraza la Mitihani la Taifa mnalifahamu hili?

Victor Mlaki

JF-Expert Member
May 1, 2016
4,102
4,228
Ni jambo linalotia fedheha sana na kama tatizo ni Baraza la Mitihani basi kuna kila dalili ya Kuporomoka kwa Baraza hilo na kama sivyo basi viongozi husika wawe eneo
nitakalolitaja watakuwa ni wa kutiliwa shaka.

Kilichonisukuma kuandika hapa ni suala la Walimu katika Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita waliosimamia Mitihani ya kidato cha Nne mwaka jana (2015) katika mazingira magumu kwa kuambiwa fedha hakuna na kupewa kiasi cha kujikimu na kuahidiwa watapewa hela zilizobaki lakini mpaka Mwalimu angeharibu kazi asingehukumiwa? kama mpaka muda huu hakuna aliyelipwa.

Je huo ni usahihi na haki kweli?
 
Back
Top Bottom