Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 22,564
- 23,448
Wakuu,
Tumesikia watu wakishangaa Benki Kuu kuwa na PhD holders 17 lakini hawakurekodi dhahabu kama export yetu kwa muda wote huo. Sasa na mimi ningependa kujua, mabaraza ya mawaziri kwa nyakati tofauti za kupitia mikataba mikubwa kama ya madini, vikao vyao vilikuwa na PhD ngapi?