Mimi naona kama Dar es salaam ndo inaenda vizuri,maana uongozi umebaki Dar peke yake.La nini mbona nchi inaenda tu vizuri?
Habari zenu Wana JF,
Mimi si mjuzi sana wa mchakato mzima wa uteuzi katika nafasi mbalimbali mara baada ya Uchaguzi Mkuu kupita, lakini naona kama vile mara hii imechukua muda sana kwa baraza la mawaziri kuundwa.
Mi naona kama uvumilivu wangu unanishinda vile, nahitaji kweli kuona hao mini tingatingas watakaomsaidia Pombe. Ni lini atawatangaza?
magufuli ana bana matumizi akitangaza mawaziri saivi gharama zitaongezeka so anasubiri haka kamwezi kaishe ili aanze kuwalipa mwezi ujao