Baraza la mawaziri la chadema lingekuwaje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baraza la mawaziri la chadema lingekuwaje

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NOT ENOUGH, Mar 3, 2011.

 1. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ningependa kujua Dr Slaa alipangaje baraza lake la mawaziri kama angeingia Magogoni tarehe 31/10/2010? I would be so much interested kujua nani wangekuwa members. Ni vizuri tujue ili tuone kama Mh ilikuwa achukuwe uwamuzi sahihi au la? and its very possible hilo ndo likawa baraza letu la mawaziri mwaka 2015.

  1. Raisi - Slaa
  2. PM - Mbowe
  3. Fedha
  4. Lissu
   
 2. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180

  Kumbe unaota. Pole sana.
  kwa ndoto hizo utaota mpaka utazeeka, wenye nchi hawana time na hao unaowataja, kiongozi anachukua mke wa mtu. eti kiongozi mmliki cassino? maajabu.
   
 3. n

  nyantella JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  3. Fedha & Uchumi - ZZK
  4. AG - TL
  5. Sheria & Katiba - JJM
  6. Wanawake & Watoto - HJM
  7.
   
 4. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  duh! mkuu unafikiria mbali kweli,,,,,mpaka unapitiliza!!!! we waukweli ndani ya uongo!!!!
   
Loading...