Nyerere alikuwa na mawaziri 23. Mwinyi alikuwa na mawaziri 33. Mkapa alikuwa na mawaziri 49 JK juzi tu alikuwa na mawaziri 59 na tuliona ufanyaji wa kazi wa serikali ulivyokuwa. Wana JF naomba mwongozo Tunahitaji Baraza la mawaziri liwe na mawaziri wangapi?