Baraza la Madiwani Siha lamlazamisha Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Kukiri Shamba la Gararaguwa litauzwa

Imma Saro

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
394
197
Baraza la Madiwani Siha lamlazamisha Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Kukiri Shamba la Gararaguwa litauzwa
Akizungumza katika baraza la Madiwani Muda huu Mkuu wa Mkoa amekiri nakusema shamba ni mali ya Chama cha Ushiriki KNCU hivyo taratibu la kuliuza zimeshakamilika, Binafsi nimejiridhisha hivyo,
Mkuu wa Mkoa amefikia hatua hiyo baada ya Diwani wa Kata ya Ivany Mh Elia Kiwia,alipotaka kufahamu kauli ya serekali juu ya Shamba la Gararaguwa Limeuzwa au Halijauzwa na kama limeuzwa halmashauri itafaidika na nini na kama halijauzwa halimshauri inafaidika na nini?
Katika hali ya kushangaza mkuu wa Mkoa ameendelea na msimamo wake juu ya Halmashauri ya Siha kufutwa ambako alisema
Nakama mtaendelea hivi Halmshauri yanu ya SIHA itafutwa, mnaaridhi kubwa lakini hamna mapoto hii ni atari na sifahamu ilikuwaje Siha kuitwa wilaya wakati haina uwezo wakukusanya mapato.
Akichangia katika kikao hicho Diwani wa Gararaguwa Mh Zakaria Lukumai ameonye hali yakutokuwepo kwa amani katika eneo hilo kutokana na kauli ya Mkuu wa Mkoa wa alietangulia Mh Makala aliwaambia wananchi kwamba Shamba litasubiri kauli ya Serekali hadi sasa wananchi wanasubiri hivyo nakuomba ufike kwa wananchi uwaeleze kauli hiyo.
Katika kuchangia mjadala huo Diwani wa Kata ya Levishi Mh Winston Nnkini amemuomba Mkuu wa Mkoa kutumia mamlaka yake eneo linalozunguka eneo la halimshauri,litumike kwa ajili ya Halmshauri.
Bado Baraza la madiwani linaendelea ikiwa ni kujadili taarifa ya CAG.
 
Back
Top Bottom