Mtikila nae ni Pentekoste sasa huo uwakilishi mwingine wanaotaka ni upi huo
katika majina waliyopeleka mtikila hakuwepo
Mtikila nae ni Pentekoste sasa huo uwakilishi mwingine wanaotaka ni upi huo
kwa sensa ya mwaka gani?Hujasoma post yangu vizuri soma kwa umakini na uwe makini, idadi imeonyeshwa. Zao la shule za kata.
Hebu jihesabuni kwanza mpo wangapi?
Umegusa penyewe.nadhani hapa ni ile 700000
sasa mkuu sikukuu za idi utapamba kwa kutumia nini? Maana hakuna mapambo ya kiislamu!!
Umeshawahi kusikia ibada ya krismasi imefanyika kitaifa katika kanisa fulani la Pentekoste. Au ibada ya pasaka itafanyika kitaifa katika kanisa fulani la pentekoste. Jibu ni hapana, mara zote hufanyika kwenye makanisa ya CCT (Anglikana na KKKT) au TEC (Catholic) Mahali zinapofanyika sherehe hizi, vyombo vya habari vya kitaifa hurusha hewani ibada husika.
Lakini umeshawahi kuona hiyo TBC (ambayo inayoendeshwa kwa kodi za watu wa dini zote wakiwemo wapentekoste na wale wasio na dini) ikionyesha kipindi cha jumapili ibadani kutoka katika kanisa la kipentekoste? jibu ni hapana.
Swali la kujiuliza: Kwanini wapenteKotse wanadharauliwa na serikali ya CCM?
Hapa kuna nadharia kama tatu ambazo makala hii itazijadili: Nadharia ya kwanza inaweza kujengwa kwenye uchache. Mtu ataweza kujipa ujasiri feki na kusema "hawadharauliwi ila ni wachache sana, yaani wapo kiduchu kama wafuasi wa ile dini ya marastafarian" au ile dini ya Bhai, au hadhi na idadi yao ni sawa tu na kundi la Bongo movies ambao idadi yao haijai kwenye kiganja cha mkono"
Hata hivyo hoja hiyo hapo juu ni hoja dhaifu kwani makanisa yaliyochini ya PCT(Pentecostal Coiuncil of Tanzania) yapo 10,000 nchi nzima na wanachama 10,000,000 TZ.
Nadharia nyingine ya Wapentekoste kutengwa tunaweza kusema labda ni ile tabia yao ya kutokunywa pombe na kuhubiri na kushawishi mno watu waache pombe na hatimaye wanasababisha serikali ya CCM kukosa mapato yatokanayo na kodi ya vileo. Nadharia hii inaweza kuwa na ka- ukweli fulani ingawa si ya msingi sana.
Nadhari nyingine inaweza kuwa mtazamo wa serikali kuwa Wapentekoste ni watu wapole, wanafuata misingi ya kibiblia bila uchakachuaji wowote, hivyo hata wakipunjwa au kuonewa hawana noma yaani kwa lugha ya kibiblia " akupigaye shavu la kulia mgeuzie na la kushoto amalize hamu ya kukupiga" serikali ya CCM inawatambua kuwa ni washamba na ni mamburura tu wasio na madhara yoyote. Hii inaweza kuwa ndiyo sababu hasa ya CCM kutowajali na kuwapuuza Wapentyekoste.
Kilele cha yote ni uteuzi wa Rais katika Bunge la katiba, amewadharau.
WITO: HIMAHIMA WAPENTEKOSTE TUUNGANE TULIANGUSHE HILI ZIMWI LINALOITWA CCM MWAKA 2015, KURA 10,000,000 ZINATOSHA KUCHAGUA RAIS ASIYE NA UBAGUZI.
GREAT THINKER TU WANARUHUSIWA KUJADILI
Tujikumbushe Uteuzi - TAASISI ZA DINI
1.Waislamu-kuna wajumbe-10
2.TEC kuna wajumbe-4
3.CCT kuna wajumbe-5
4.Maaskofu binafsi-2
5.PCT- Hakuna mjumbe hata mmoja.
Kadi Kadi Kadi Kadisasa mkuu sikukuu za idi utapamba kwa kutumia nini? Maana hakuna mapambo ya kiislamu!!
Jadili vitu vya mana wewe!huu ni Ujinga....katiba ni ya Watanzania, sio Dini..mbona Waislamu awajalalamika kuwa wameunganishwa Pamoja bila kujali madhehebu,wakati kuna washia,suni,answal,nk mengine
Mkuu umenivunja mbavu..!!!!!Hiyo definition haikubaliki, kwani kuna makanisa mengine ya kimwili!???
Sawa hakuna mapambo ya kiislamu...
Ongeza katika ile orodha pale juu ...
Waislamu hawajui Kijipamba...
Tutajuaje kuwa hoja yako sio ujinga jitazame kwanza ndipo ujibu na sio kuita dini za watu ujinga!!Jadili vitu vya mana wewe!huu ni Ujinga....katiba ni ya Watanzania, sio Dini..mbona Waislamu awajalalamika kuwa wameunganishwa Pamoja bila kujali madhehebu,wakati kuna washia,suni,answal,nk mengine
Wadau tuacheni utani, PENTEKOSTE ina waumini kila kona, ni wengi hata kuliko Waislam hapa nchini. Hawa jamaa wameenea hadi vijiji uwezi kuamini
Ajabu ni kuwa Mufti wa BAKWATA amewafanyia takfir (kuwatoa katika Uislamu) Waislamu wote waliokataa kumtambua Kadhi aliyechaguliwa na yeye.Mkuu with all due respect.
Waislam tunaunganishwa na BAKWATA.
Hutaki unaacha.