Baraza kuu CHADEMA wakutana Dar es Salaam

Baraza kuu CHADEMA wakutana Dar es Salaam

wameshituka wakati wao wako bize kuwataarifu watu wa mitandaoni ambao wengi wao wapo nje ya nchi ccm wako bize kuwapa taarifa watu kwenye sehemu husika ambao hasa ndo wapiga kura halisi.
naona na kadima wamelishitukia hilo.


Kuna kikao cha CHADEMA kinaendelea Mlimani city . Inasemakana ni Baraza kuu. Mbona wakina Tumaini Makene, Kurugenzi ya Habari hawajatupa habari yoyote kuhusiana na hiki kikao?. Mwenye Taarifa ya uhakika juu ya hiki kikao atujuze.
10330247_729529780427671_6213161264564508281_n.jpg
 
Back
Top Bottom