Mbona umekupuka hivyo dada, soma ulichoandika, ukimaliza soma ratiba ya uchaguzi ya chadema iliyotolewa mda tu
Kuna mnyetishaji kanitonya kuwa wameitisha kikao kimyakimya bila kuwataarifu wajumbe wengine makusudi ili wapigwe msasa pamoja na vitisho kibao. Nia na tahadhima ni kumvua uanachama kijana msomi na shujaa.
.2.3 Kamati kuu imepitisha
ratiba ya uchaguzi wa ndani ya
chama kama ilivyopendekezwa
na Sekretariati, kama ifuatavyo;
Hadi tarehe 30/07/2014-
kukamilika uchaguzi wa kata
Hadi tarehe 15/08/2014-
kukamilika chaguzi za
majimbo/wilaya
Hadi tarehe 30/08/2014-
kukamilika chaguzi za mikoa
Tarehe 6/09/2014- Uchaguzi
wa Baraza la Wazee
Tarehe 10/09/2014- Uchaguzi
BAVICHA
Tarehe 11/09/2014- Uchaguzi
BAWACHA
Tarehe 12/09/2014- Kamati
Kuu
Tarehe 13/09/2014- Baraza
Kuu
Tarehe 14/09/2014- Mkutano
Mkuu
Tarehe 15/09/2014- Baraza
Kuu
Tarehe 16/09/2014- Kamati
Kuu Mpya