Minal Faizin inshallah mwenyezi mungu atutakabalie swaum zetu na towba zetu,atupe afya na maelewano na ndugu jamaa na marafiki,atujalie kila lenye kheir na atuepushe na kila shari yaa raab.
Nakukaribisha Iddi Pili AD Leo nilikuwa kwa Job tired kwa Sana! uugh! Naandaa mwenyewe Bilyan Bismat rice ya Mbuzi:hungry: Ice Cream ya Backresa kopo kubwa mbili limejaa sijajua utakuwa umependa flava ipi AD.
:thinking:
Nadhani utakuwa unapenda na Coca Cola nitakuwekea maanayake me huwa napenda zaidi Apple Juice.
Cartoon ya Simpson ipo pia haha Karibu Sana Afrodenzi