Mwalimu:hamjambo jan niliwaachia home work? Baraka:ndio mwalimu uli2ambia 2chore pcha ya ng'ombe mwalimu:Sasa wewe baraka mbona unanionyesha karatas leupe inamaana wew hujachora hyo picha? Baraka:mwalimu nimemchora ila huyo ng'ombe kaenda mtoni kunywa maji akirudi ntakuonyesha mwalimu!!