Baraka Mpenja yuko wapi?

Baraka Mpenja yuko wapi?

Smart AJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
5,564
Reaction score
5,917
Ni kitambo kidogo sijamskia mwamba wa umalila,jambo ambalo si kawaida ikapita mechi tatu asitangaze,huyu bwana atakuwa wapi?
 
Kuna mechi za karibuni kama sikosei alikuwa mtangazaji
 
Hatimaye jana akasikika bwana mpenja
 
Back
Top Bottom