Baradhuli mtanashati

Kila nilivyokuwa nashuka chini kuusoma huu uzi naona Kiebrania tu ila kidoooogo kwenye maoni ya wengine nimepata mwangaza.

Lakini ukitaka kumjua Mwendawazimu we mfunge Kiremba kichwani.
 
Kila nilivyokuwa nashuka chini kuusoma huu uzi naona Kiebrania tu ila kidoooogo kwenye maoni ya wengine nimepata mwangaza.

Lakini ukitaka kumjua Mwendawazimu we mfunge Kiremba kichwani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Jr[emoji769]
 
fumbo lililowashinda wanalumumba umeliweka wazi sasa watakurupuka kuja kumsifia baradhuli linalopenda kusifiwa
 
Habari ya kusikitisha baradhuli hawezi kukubali kuondoka muda ukifika sababu ni kuwa himaya inayomzunguka haiwezi kukubali kuichia keki ya Taifa, lakini siri kubwa iliyopo kati yake na zero in papers ni sababu tosha ya kutaka kung'ang'ania hata Mr Njaa aliwahi kusema anajua kwa nini zero brain hawezi kutumbuliwa japo hawezi kuweka wazi. Kikwete MUNGU anakuona.
 
Wandugu wapendwa mada haijamtaja mtu chondechonde mabaradhuli wapo popote.. Hata wale wanaojiita manabii na mitume kisha wakasimama majukwaani kuhubiri siasa ni mabaradhuli matowashi wa haki

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…