Ishmael
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 15,039
- 6,018
Pole sana. Walisema U.S. haiwezi kuwa na Rais Mweusi, where are we now?Uimara, ulinzi na usalama wa taifa unategegemea wanaume kwa asilimia kubwa. Siyo rahisi kwa mwanamke kupata urais Marekani au taifa lingine lolote lenye ubabe. Maslahi na ustawi wa taifa ni zaidi ya kinachoitwa demokrasia.