isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,152
- 6,601
Kwanza niseme asante sana umeniongezea kitu kwaajiri ya kuendeleza hii tafiti.Ukiendesha Highway ya I40 West state ya Arizona utakutana na bango limewekwa picha ya Hitler na Obama. Sijui linasema nini manake nililipita bila ya kulisoma ila niliangalia picha tu.
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Unaweza kueleza wanatofauti zipi?Obama kuna kitu aliamua bila kushirikisha congress? Obama aliua wamarekani wangapi ambao hakukubaliana nao? Obama alizuia watu wa aina gani kuabudu? Kumlinganisha Obama na Hitler ni sawa ya kumliganisha mtu na nyoka.
Nitazidi kuwaletea tafiti mbalimbali kadri ninavyo zikamilisha.
Ina maana hata picha ya Adolf Hitler huwezi kutofautisha na picha ya Obama.Unaweza kueleza wanatofauti zipi?
Haha Bro upo US?Mbona naona utachoka vibaya na majukumu mazito??
Bosi, nilipie mimi nikachunguze ile bango kwenye Highway ya I40 West state ya Arizona? Ninavyojua mimi ni kwamba Obama na Hitler walikuwa mapacha, kwa hiyo uchunguzi wa kina unahitajika. Wewe endelea na utafiti wa Flat 'Bense' Earth na Turn-Changes Universe.
Naona utofauti Obama ni Chocolated color na Hitler ni Ginger alle.Ina maana hata picha ya Adolf Hitler huwezi kutofautisha na picha ya Obama.
Majibu niliyotoa yanajieleza wewe kama una point ya kumhusisha na huyo muuaji basi toa yako. Obama amaepusha vita vingapi wakati wa utawala wake? Hitler alikuwa na marafiki wa nchi gani na alifanya nini zaidi ya kuua, kuteka na kutesa watu?Unaweza kueleza wanatofauti zipi?
Aisee Obama amefanya nini Iraq na Afghanistan? Obama na Hitler ni walewale.Majibu niliyotoa yanajieleza wewe kama una point ya kumhusisha na huyo muuaji basi toa yako. Obama amaepusha vita vingapi wakati wa utawala wake? Hitler alikuwa na marafiki wa nchi gani na alifanya nini zaidi ya kuua, kuteka na kutesa watu?
Nimekaa US sikusikia hata siku moja watu wanawekwa mafichoni kama mchina anavyofanya sasa kwa Waislam wa huko. Alishindwa Gwantanamo sababu ya shinikizo za kisiasa ila angeweza angeifunga.
Flat 'Benze' Earth ndiyo nini?Je Barack Obama na Adolf Hitler wanautofauti upi?
- - - -
Baada ya tafiti na ugunduzi kuhusu Flat 'Bense' Earth na Turn-Changes Universe sasa kunajambo/mambo nimegundua juu ya wahusika tajwa hapo juu.
Lakini kwa sasa naomba nione jinsi gani unawafahamu na kuwatofautisha, Barack Obama na Adolf Hitler wanatofauti ipi/zipi?
If you could make one role that everyone had to follow, what role would you make? Google 😅Flat 'Benze' Earth ndiyo nini?
Siku hizi kuna google kwa hivyo ilmu nyingi na maarifa mengi yanapatikana kwa urahisi sana. Nime-search hiyo sijaiona.
Kwa kawaida sirukiagi mambo. Lakini swali la tofauti kati ya Obama na Hitler must be considered one of the most ridiculous uniformed preposterous questions. But coming from the author of flat benze earth hypothesis, it is, perhaps, remarkably not so surprising.
Oh punguza ukali wa maneno Kaka.Tofautizao ni kwamba Obama alikuwa ni Katili/Gaidi ni mtu ambae hakuwa na msaada kwa waafrika wenzie, hususan ndugu zake wakenya,,,na ndie huyu huyu aliyemuuwa mwafrika mwenzie Gadafi na kusababisha maelfu ya wasio na hatia kupoteza maisha. MWENYEZI MUNGU AMLAANI HUYU JALUO.
Hitler is a good man,, usimfananishe na vitu vya kipumbavu,,,More than six million Jews were killed by the Nazis,,,alifanya jambo la maana sana kuwasambaratisha hawa mashoga.na
Eleza wewe uliyewafananisha, kumfananisha Obama na Hitler ni sawa na kumfananisha Magufuli na KenyattaUnaweza kueleza wanatofauti zipi?
Je Barack Obama na Adolf Hitler wanautofauti upi?
- - - -
Baada ya tafiti na ugunduzi kuhusu Flat 'Bense' Earth na Turn-Changes Universe sasa kunajambo/mambo nimegundua juu ya wahusika tajwa hapo juu.
Lakini kwa sasa naomba nione jinsi gani unawafahamu na kuwatofautisha, Barack Obama na Adolf Hitler wanatofauti ipi/zipi?
Naona Obama ni afro na Hitler ni Austrian, wote waliua maelfu ya watu kwa vipindi tofauti.Eleza wewe uliyewafananisha, kumfananisha Obama na Hitler ni sawa na kumfananisha Magufuli na Kenyatta
Sent using Jamii Forums mobile app
KumbeeTofauti rahisi kabisa ni kuwa baba yake Hitler hakuwa Mkenya.