ndege JOHN JF-Expert Member Aug 5, 2015 19,766 45,330 Aug 18, 2022 #1 Wakuu naombeni mnifahamishe NI barabara kuu gani hapa nchini zilipata bahati ya kuwekewa lami tangia miaka ya nyuma.
Wakuu naombeni mnifahamishe NI barabara kuu gani hapa nchini zilipata bahati ya kuwekewa lami tangia miaka ya nyuma.
julaibibi JF-Expert Member Jun 16, 2020 2,649 3,468 Aug 18, 2022 #2 ndege JOHN said: Wakuu naombeni mnifahamishe NI barabara kuu gani hapa nchini zilipata bahati ya kuwekewa lami tangia miaka ya nyuma. Click to expand... Tanga zimejaa tele. Mbeya pale uyole kuna lami ya mjeruman
ndege JOHN said: Wakuu naombeni mnifahamishe NI barabara kuu gani hapa nchini zilipata bahati ya kuwekewa lami tangia miaka ya nyuma. Click to expand... Tanga zimejaa tele. Mbeya pale uyole kuna lami ya mjeruman
dr samg JF-Expert Member Jul 22, 2012 292 159 Aug 18, 2022 #4 ndege JOHN said: Wakuu naombeni mnifahamishe NI barabara kuu gani hapa nchini zilipata bahati ya kuwekewa lami tangia miaka ya nyuma. Click to expand... Barabara ya makambako hadi songea iliwekwa lami miaka ya 1980 mpka leo sehemu chache sana ndio zimefanyiwa repair, asilimia kubwa bado ni ile ile lami ya mwingereza, kwangu mimi ile ilikuwa ndio lami kongwe zaidi
ndege JOHN said: Wakuu naombeni mnifahamishe NI barabara kuu gani hapa nchini zilipata bahati ya kuwekewa lami tangia miaka ya nyuma. Click to expand... Barabara ya makambako hadi songea iliwekwa lami miaka ya 1980 mpka leo sehemu chache sana ndio zimefanyiwa repair, asilimia kubwa bado ni ile ile lami ya mwingereza, kwangu mimi ile ilikuwa ndio lami kongwe zaidi