Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,968
Nadhani unamaanisha barabara ya kutoka mbezi mwisho kupitia kinyerezi kwenda majumba 6 mkuu ungedadavua kdgSijui nani alitengeneza Barabara za Tabata. Na sijui kwa nini serikali haijiongezi kua watu Tabata wameongezeka, hii barabara ya miaka ya 70 ipanuliwe watengeneze barabara nyingine.
Yaani barabara nyembembe kama njia ya panya. Alafu ina kona kona nyingi balaa, hua nashindwa kuelewa, hivi barabara ilifuata watu au watu walifuata Barabara? Maana inaonekana kama ilikua inakwepa nyumba za watu.
Haiwezi kua hiyo, hiyo sio ya Tabata....ni Kinyerezi - Malamba mawili - Mbezi.Nadhani unamaanisha barabara ya kutoka mbezi mwisho kupitia kinyerezi kwenda majumba 6 mkuu ungedadavua kdg
Kwahio unataka waje wabomoe nyumba zenu ili barabara itanuliwe au? Umesahau kilichotokea Kimara?Sijui nani alitengeneza Barabara za Tabata. Na sijui kwa nini serikali haijiongezi kua watu Tabata wameongezeka, hii barabara ya miaka ya 70 ipanuliwe watengeneze barabara nyingine.
Yaani barabara nyembembe kama njia ya panya. Alafu ina kona kona nyingi balaa, hua nashindwa kuelewa, hivi barabara ilifuata watu au watu walifuata Barabara? Maana inaonekana kama ilikua inakwepa nyumba za watu.
1. Siishi Tabata.Kwahio unataka waje wabomoe nyumba zenu ili barabara itanuliwe au? Umesahau kilichotokea Kimara?
1-imetosha kujua kwanini unaongea hivyo.1. Siishi Tabata.
2. Kama sheria imevunjwa lazima waliovunja walipe gharama za uvunjaji wa hyo sheria bila kuoneana aibu.
3. Serikali ilikua wapi wakati watu wanavamia hifadhi ya barabara kama uvunjaji utaonekana hauna fidia.