hizi barabara za jimbo la Segerea zinafanya hata mtu unashindwa kuwa na gari zuri au safi, kipindi cha ukame ni vumbi na kipindi cha mvua ni matope achilia mbali ubovu uliokithiri. mfano barabara ya Migombani kwenda Segerea yani ni mbovu hadi aibu.

Kwa kuanzia kuipandisha hadi barabara hiyo,
mnaweza kujiorganise kama jamii ya eneo husika na mkalifanya liwe smart linalopitika kirahisi wakati wote gentleman.
Na,
ni wazi pamejengwa makazi kiholela pia, right?