Amalinze
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 6,780
- 5,318
Heshima kwenu JF,
kwanza napenda kuwapa pole kwa pilika pilika za kujitafutia kipato na foleni za dsm,kiukweli barabara za dsm ni mbovu ajabu nianze na hizi na wewe utaongezea
1.Mwai kibaki:-Kuna kipande cha hapo may fair ni kibovu sana inachukua takribani dakika 40 kutoka ubalozi wa marekani hadi tmj,wadau tunaomba mrekebishe hicho kipande mnawatia umasikini wa-tz kwa kuchoma mafuta pasipo kuwa na 7bu za kumsingi
2.Migombani road:-kipande cha kutoka kwa kikwete kuitafuta kairuki aiseeee ni balaaaa yani mashimo kama maaandaki chemba zunavuja na kufanya erosion ya lami na kutengeneza mduara mithiri ya crater tunaomba halmashauri muweke hata kifusi trip moja tu inatosha kurekebisha kwa temporary wakati tukisubiri permanent solution.
3.Akachube road:-kipande cha pale karibu na kona ya kwenda m/nyamala kwenye kota za jeshi kuna shimo kubwa sana barabarani plz wahusika do the needful
4.Njia panda ya kairuki kuitafuta mwalimu nyerere-rose garden road:-Hapa kuna njia mbili kuna ile ya kunyoosha yani ukitoka migombani haukunji unaenda moja kwa moja kupita uwanjani,ukiacha rami pale kuna mabwawa mawili hayakauki sijui maji yametoka wapi? ukiingiza gari nusu nzima inazama yani ni hatari ukitaka usipate balaaa hilo la bwawa basi utakunja kushoto kwenda kairuki hospital then unakunja kulia pale kairuki changamoto ya njia hiyo ni balaaa yani mashimo makubwa kama gari ipo chini full kugonga exhaust pipe.
Please mamlaka husika ebu fanyeni mtuondolee hizi kelo sehemu ya kwenda dakika 20 tunatumia masaa ma2 ni kero kupoteza mda na mafuta.
Wako LBG,Kigali.