N nyakahanga JF-Expert Member Joined Mar 7, 2013 Posts 240 Reaction score 65 Apr 29, 2016 #21 Keben said: Hii bararbara imefia wapi? Naona majengo ya Tanroad wanakaa walinzi tu. Click to expand... Nimepita wiki iliyopita maeneo ya kisesa kuelekea kona ya fella. Nilikuta mitambo ya nyanza roads ipo barabarani. Nadhani wanataka ku 'resume' ujenzi wa barabara uliosimama kwa takribani mwaka mmoja sasa
Keben said: Hii bararbara imefia wapi? Naona majengo ya Tanroad wanakaa walinzi tu. Click to expand... Nimepita wiki iliyopita maeneo ya kisesa kuelekea kona ya fella. Nilikuta mitambo ya nyanza roads ipo barabarani. Nadhani wanataka ku 'resume' ujenzi wa barabara uliosimama kwa takribani mwaka mmoja sasa