barabara ya sokon karume yafungwa

barabara ya sokon karume yafungwa

thehunk

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
533
Reaction score
233
napita muda huu wa alfajiri hapa sokon la mchikichini maarufu kama karume naona barabara ya karume imefungwa na wafanyabiashara wa hapakwa kuweka meza zao barabarani na taarifa za awali ni kwamba moto mkubwa uliozuka tangu saa nane usiku umeteketeza soko
 
Habri yk haijakamilika kwanza hata sijakuelewa
 
napita muda huu wa alfajiri hapa sokon la mchikichini maarufu kama karume naona barabara ya karume imefungwa na wafanyabiashara wa hapakwa kuweka meza zao barabarani na taarifa za awali ni kwamba moto mkubwa uliozuka tangu saa nane usiku umeteketeza soko
Mkuu The Hunk, ukikutana na jambo lolote kubwa, uwege unapita kwanza jf, taarifa zimeripotiwa tangu jana saa 5 usiku, leo alfajiri ndio unatuleta taarifa za moto saa 8 usiku!. Soma hii uangalie ilipostiwa saa ngapi!.
[h=3]Breaking News: Soko la Karume linateketea kwa moto muda huu ...[/h] Hata hivyo asante kwa taarifa kuwa barabara imefungwa!.

Pasco

Kweli ulikuwa ni moto mkubwa kweli soko limeathirika sana kiukweli.
 
Soko la mchikichini maarufu kama soko la karume la teketea kwa moto usiku wa 12/6/2014.

Chanzo cha moto huo haijulikani mpaka sasa chanzo nini 70% ya soko lateketea kwa moto.
 
Back
Top Bottom