Bora wamekwangua lile tabaka la lami vishimo.
Kipindi cha uchaguzi tutaona mbwembwe nyingi sana.
Mabango hewa ya........?????????Hii ni katika kufuatilia ujumbe uliomo kwenye comment hii pamoja na utopolo uliomo:
View attachment 1604670
Yaonekana baada ya hiyo iliyokuwa jana (siku 3 zilizopo ya) sasa TANROADS wameamka, barabara inamwagiwa maji na wanajitahidi kufika na kushuhudia ajali site zinazoletwa na uzembe wao.
Katika picha kwenye wekundu ni TANROADS wamefika huku pia:
View attachment 1604669
Yetu macho 12Bn/- hadi zienee.
Vinginevyo baada ya Oct 28 itabidi tuelezane hata kama zilitumika kutengenezea mabango hewa ya CDM.
๐ต๐ตKatika picha ni hali halisi ya barabara ya Rusahunga Rusumo 92km miaka 60 baada ya uhuru.
Kwa hakika nia njema ya kuwa na miundo mbinu kama ya Ulaya - tungali na safari ndefu.
Katika picha ni hali kama ilivyo leo.
Labda pamoja na makelele mengi angalau maji yamemwagwa barabarani:
View attachment 1604620
Nyuma kwenye kiyoyozi ni TANROADS na mbele kwenye pickup ni vibarua mahili kuelekea kazini:
View attachment 1604630
Hali ya barabara nzima inaendelea kuwa hivi:
View attachment 1604633
View attachment 1604636
View attachment 1604641
View attachment 1604651
Picha zaidi kufuata.
Ni wapi?Lusaunga,nyakaula,kanazi,rusumo,sio tanzania ile
Hata jiwe anajua Tanzania ni Dar, Dodoma na Chatto.Lusaunga,nyakaula,kanazi,rusumo,sio tanzania ile
Ni wapi?
Mabango hewa ya........?????????
Jamaa anadhani anaikomoa Kagera kumbe anajikosesha mapato mwenyewe kutoka kwa IT
Kazi kweli kweli.Wamemchagua bwege?