Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,185
- 18,513
Moja ya barabara ambazo zitakosa viwango itakua ni kipande hiki kinacho endelea kujengwa.
Nafikiri hakukua na sababu ya kwenda haraka kama pesa hazitoshi.
Barabara ya kutoka mjini hadi morocco pamoja ni ya muda mrefu lakini ipo kwa kiwango, pia kutoka tegeta hadi mwenge imejengwa kwa kiwango kizuri sana.
Kutoka mwenge hadi ubungo ni barabara pekee ambayo mtu unaweza ukaendesha kwa speed zaidi ya 100 hapa mjini isipo kua majira ya jioni, lakini kinacho endelea kujengwa morocco mwenge nadhani ni jipu la jiji.
Barabara imejengwa bila viwango na Consultant hajulikani hadi leo. Pia kwanini konoike haja endelea na kazi aliyoianza kutoka tegeta hadi mwenge?
Hata kama tunataka kazi ifanyike viwango ni vya muhimu sana.
Hii inaonyesha nchi hii inataka maendeleo ya maneno