Niandikapo uzi huu ni kuwa hatimaye miraculously nimebahatika kutoka Nyabugombe katika barabara Rusumo kuelekea Rusahunga njia kuu iendayo Dar baada ya kuwepo hapo kwa siku karibia 2.
Kwa hakika hii haina tofauti na escape from Sobibo. Wengine wengi watoto na kina mama bado wapo pale.
Si chini ya magari 1000 kwa hesabu za haraka haraka yamekwama pale kutokana tu na ubovu tu wa barabara uliopo pale unaosababishwa na uzembe wa wenye mamlaka.
Ni usumbufu kiasi gani? Ni upotevu kiasi gani wa biashara? Ni uharibifu kiasi gani wa magari? Hakuna anaye jali?
Eneo lenyewe hili hakuna mitandao yoyote ya simu na hivyo hali kwa ujumla ni tete.
Hakuna askari polisi wala hakuna msaada wowote.
Hivi kweli barabara hii haina ukipa umbele wowote? Kweli hawa TANROADS wanaridhika kabisa na hali hii?

...exaggeration...sikatai kuna tatizo...nachokataa ni huo uwingi wa gari tunaotaka kuaminishwa..eti gari si chini ya 1,000...