Dig the EA
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 287
- 279
Salamu waungwana. Napenda kuuliza, anayejua hali ya barabara ya kutoka Buswelu hadi Nyamhongolo kupitia Nyamadoke ilivyo aniambie. Mara ya mwisho nilisikia kuwa barabara hiyo kutoka Buswelu mbogamboga- Nyamadoke- Nyamhongolo inajengwa kwa kiwango cha Lami; je ni kweli imejengwa hivo ?
Kama inajengwa iko na hatua gani? Kama haijajengwa sababu ni nini?
Na mipango au matarajio ya barabara hiyo ni nini?
Anayejua, tafadhali tupeane uelewa huo, twambie. Asante sana.
Kama inajengwa iko na hatua gani? Kama haijajengwa sababu ni nini?
Na mipango au matarajio ya barabara hiyo ni nini?
Anayejua, tafadhali tupeane uelewa huo, twambie. Asante sana.