Barabara ya Ifakara

Barabara ya Ifakara

gambosh

Member
Joined
Mar 1, 2014
Posts
34
Reaction score
5
Magari ya abiria na mizigo yamekwama ktk eneo la signal kutokana na mvua iliyonyesha jana usiku baada ya mkandarasi kushindwa kusambaza vifusi vilovyomwagwa pembezoni mwa barabara hiyo takriban mwezi sasa hivi.Uongozi wa mkoa ujaribu kumfuatilia huyo mkandarasi maana watumiaji wa barabara hiyo wanateseka sana.Hivi sasa kuna gari zimenasa toka asubuhi malori pamoja na mabasi.kazi kwenu viongozi.
 
Hilo eneo la signal lipo wilaya au mkoa gani?
 
Kilomita 20 kutoka Ifakara na hivi bado wamekwama watu hapo.
 
1402593313948.jpg 1402593313948.jpg
 
Shukran ila treni hatabiriki.mara ipite mara isionekane majanga ndugu.
 
Du namkumbuka yule Mganga MANGUNGU mtoto wa Kalembwana hivi yupo bado
sio kayazuia kweli hapo
Basi poleni wasafiri wote
Huyu Mganga wa jadi ni mtu mwenye uwezo anaweza saidia hata chakula au kuyakwamua
 
Magari ya abiria na mizigo yamekwama ktk eneo la signal kutokana na mvua iliyonyesha jana usiku baada ya mkandarasi kushindwa kusambaza vifusi vilovyomwagwa pembezoni mwa barabara hiyo takriban mwezi sasa hivi.Uongozi wa mkoa ujaribu kumfuatilia huyo mkandarasi maana watumiaji wa barabara hiyo wanateseka sana.Hivi sasa kuna gari zimenasa toka asubuhi malori pamoja na mabasi.kazi kwenu viongozi.
Awije!!! Mkuu umeandika kizungu sana mpaka nimepasahau kunaitwa siginali cjui kama inamaana ya "signal" ya malkia Eliza
 
Ni ziginari kwa kiswahili ila kiingereza ni signal
 
Back
Top Bottom