Barabara ya hedaru-Korogwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barabara ya hedaru-Korogwe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kifuruko, Dec 8, 2011.

 1. k

  kifuruko Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natokea arusha kuja dar, barabara tajwa ni hatari kama ukarabati wa uhakika na mapema hautafanyika, kuna mashimo mengi mno. So take care!
   
 2. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #2
  Dec 8, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Upembuzi yakinifu ushafanyika, bado mkandarasi kufika site
   
Loading...